Sauti za Busara Logo

Habari kutokea Zanzibar

Octoba 2023

MáDé KUTI & THE MOVEMENT (Nigeria), ZOë MODIGA (South Africa), SHOLO MWAMBA (Tanzania), SELMOR MTUKUDZI (Zimbabwe), STEWART SUKUMA & BANDA NKHUVU (Mozambique), SITI & THE BAND (Zanzibar), THE BROTHER MOVES ON (South Africa), WAKAZI (Tanzania), FLYING BANTU (Zimbabwe), DOGO FARA (Reunion), MARY ANIBAL (Zimbabwe), MUHONJA (Kenya), FRANCESCO NCHIKALA (DRC, Zambia), AFROPENTATONISM (Niger, Ethiopia), ITA & MEHDY (Algeria), WARRIORS FROM THE EAST BAND (Tanzania), ALIDDEKI BRIAN (Uganda), TAMIMU (Tanzania), SWAHILI ENCOUNTERS (Zanzibar / Various), MUBBA (Tanzania), SIBU MANAï (Reunion), LWENDO AFRIKA (Tanzania), ANUANG'A & MAASAI VOCALS (Kenya), BRAIN BOY (Zanzibar), AFRICULTURE (Tanzania) and more to be announced.

Toleo la 21 la Sauti za Busara, lenye mada la Moving Diversty, husherehekea muziki wa moja kwa moja kutoka kote barani Afrika, kutoka kwenye safu ya wasanii  vijana na wasanii chipukizi. Msururu wa maonyesho ya kusisimua na ya kipekee yatafanyika Ngome Kongwe Zanzibar (Old Fort) kuanzia Ijumaa, Februari 9 hadi Jumapili, Februari 11, 2024.

Tiketi za mapema zinazopatikana hadi tarehe 31 Oktoba 2023, zikiwa na punguzo maalum kwa raia wa Tanzania, wakaazi wa Afrika Mashariki, na walio na pasipoti za Kiafrika. 

Zingatia kununua pasi za VIP ili kutoa mchango wako kwa tamasha na ujipatie fulana ya ukumbusho bila malipo!

Chukua ticketi yako hapa!
Sauti za Busara Partners & Supporters
image
Ignite Culture
Emerson Zanzibar
Stawi Selection Logo
Volks House
Zanlink Logo (without LT) CMYK copy-1.png
Music Industry Partners
WOMEX 2023

Kuanzia tarehe 25 - 29 Oktoba 2023, wajumbe wa WOMEX watakutana tena huko Galicia, Uhispania. Wataalamu wa biashara ya muziki wa kimataifa watajihusisha, kuunganisha, kuunda fursa mpya, na kushiriki maarifa muhimu na ujuzi wa vitendo ili kukuza uchumi wa muziki duniani kote. Kwa taarifa zaidi: https://www.womex.com/

ACCES 2023

Toleo la 6 la kongamano la Music In Africa’s ACCES litafanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar es Salaam, Tanzania kuanzia tarehe 9 - 11 Novemba 2023 kukiwa na mfululizo wa maonesho ya muziki, mikutano, mijadala ya wataalamu na mengineyo.

Atakaewahi kujisajili, ndie atakaepata nafasi ya kushiriki. Ni bure kwa wajumbe wa Kiafrika. https://www.musicinafrica.net/acces

Sauti za Busara Festival Information

Movers & Shakers

Sauti za Busara huvutia watu kutoka kote ulimwenguni; wengi ni wataalamu wa tasnia ya muziki.

Movers & Shakers ni jukwaa letu la kila siku la wasanii wa ndani na nje ya nchi, mameneja, watangazaji, vyombo vya habari na wataalamu wengine kukutana na kubadilishana mawazo. Hakuna kiingilio, na nafasi ni chache. Kana utapenda kushiriki, tafadhali jiandikishe hapa chini:

Jiandikishe hapa!

Media Accreditation

Chumba maalum cha Waandishi wa Habari wa Tamasha na kupata kibali vya Picha au Filamu vinatolewa kwa wataalamu wanaotambulika pekee, wanaoliunga mkono au kulitangaza tamasha. Usajili wa mapema ni wa lazima; haiwezekani kusajili mlangoni.

Tafadhali jaza fomu kwa kubinya hapa chini.

Kutuma linki mapema ya utangazaji wa tamasha kutasaidia maombi yako.

Jisajili sasa upate kitambulisho cha media!
Sauti za Busara - One Africa

This e-mail has been sent to [[EMAIL_TO]], click here to unsubscribe.

Busara Promotions. Maisara, Stone Town 3635 Zanzibar City TZ