Busara symbol - click for home page

Facebook

Find the official
Sauti za Busara on Facebook

SzB logo Sauti za Busara 2011

Music Festival, Zanzibar

8 - 12 February 2012

English version >>> 

Tunakushukuru kwa kuchukua muda kujibu masuali kutokana na uzoefu wako katika tamasha la Sauti za Busara 2011, majibu yako yatatusaidia kuboresha matamasha yajayo.
1.Ulipata wapi taarifa kuhusu tamasha hili? Tiki vyanzo vyote
Barua pepe Tovuti ya Busara Wafanyakazi wa Busara
Posti kadi Poster Kupitia marafiki
Gazeti   Gazeti gani?  
Redio redio gani?
TV TV gani?
Mtandao tovuti / blog
Nakala ya kuongoza wasafiri Jina
Jarida Jarida gani?
    wengine

2.Ni nini kilikuhamasisha kushiriki katika tamasha la Busara? Jibu sababu yako
Wikiendi ndefu Sifa za Tamasha
Unapita njia tu kusapoti tamasha la wenyeji
Unamjua mtu kwenye tamasha Ulivutiwa
Unahusika na tamasha    

3.Je umewahi kushiriki tamasha la Sauti za Busara?
Mara ngapi?

4.Je wewe ni mwenyeji au mgeni Zanzibar ?
Mwenyeji Zanzibar Tanzania Mgeni Hapana

(Kama ni mgeni hata kutoka TZ Bara)

4a.Umepanga kukaa Zanzibari kwa muda gani?

Siku moja Siku 4-7 Hapana
Siku 1-3 Zaidi ya siku wiki moja    

(Kama ni mgeni hata kutoka TZ Bara)

4b.Unaweza kututajia makadario kifedha kwa siku utakayo tumia kwa siku moja katika tamasha?

Hoteli
Chakula na vinywaji
Zawadi
Mengineyo tafadhali elezea

5.Sehemu gani ya tamasha uliyo wahi kutembelea au unayopanga kutembelea?
Maandamano Orodha ya filamu
Movers and Shakers Orodha ya Muziki
Busara Xtra    

6.Je unalitathmini vipi tamasha la Busara?
Zuri sana Zuri
Linaridhisha Baya
Baya sana Hapana

7.Je nini kilichokufurahisha zaidi kuhusu Busara?

7a.Je ni bendi gani unayotarajia zaidi kuiona /au ilio kufurahisha zaidi?

8.Je ni eneo gani katika tamasha linalohitaji kuboreshwa? Tiki pale unapoona panahitaji marekebisho.
Uwezo wa wasanii Eneo Viingilio
Hali/Mzuka Vywakula na vinywaji Taasisi yenyewe
Maonyesho ya filamu Mandamano Busara Xtra

9.Tafadhali elezea kwa nini?

10.Je unaweza kulishirikisha tamasha la sauti za busara na yepi yafuatayo?
Ukuzaji wa uchumi wa wazanzibari Sifa kwa wenyeji wazanzibari
Umoja Muonekano mzuri
Aina mbalimbali uzoefu mpya

11.Je ni mwenyeji wa wapi?
Zanzibar Tanzania bara
Afrika Mashariki Kwengineko
Hapana wapi?

12.Upo katika kundi gani kiumri?
16 - 18 19 - 24
25 - 34 35 - 44
45 - 54 55 - 64
65+ N/A

13.Jinsia
Mume Mke Hapana

14.Je utapenda kushinda fulana za Busara?
Nambari ya simu Jina
Barua pepe    
Ukubwa wa fulana S M L XL

15.Maoni binafsi
 

this site is hosted by Zanzibar.NET