Join Sauti za Busara Crew

  • Technical Consultant Carine Tredgold by Rashde Fidigo
  • Venue plus Technical by Masoud Khamis

Jiunge na uwe miongoni mwa wafayankazi katika tamasha la Sauti za Busara

kama una nia ya kujiunga na wafanyakazi wa SzB 2019, tafadhali tuma maombi yako kwenda safina@busara.or.tz kabla ya Desemba 31, 2018
Maombi yatakao ambatanishwa CV na barua tu ndio yatazingatiwa.

 

  • Busara crew on stage photo W3A0237ex-Markus Meissl
  • Office preparation by Faiza Bashe