EMPLOYMENT VACANCY

NAFASI YA KUTOA MAFUNZO KWA MIEZI 6


Tarehe ya kuanza: 1/09/2017

Busara Promotions inatoa fursa ya mafunzo kwa vijana wa kitanzania (wa kike/kiume) wanaopendelea kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu uandaaji na usimamizi wa matamasha.

Sifa za Muombaji: Lazima awe Mtanzania, umri kati ya miaka 18-30, anependa muziki, mtu anaejutuma.

Kwa maombi: Tuma barua kupitia barua pepe (safina@busara.or.tz) au unaweza kuwakisha maombi yako kwenye ofisi zetu zilizopo Maisara nyuma ya kiwanja viwanja vya golf.

Mwisho wa kupokea maombi 21/07/2017.


EMPLOYMENT VACANCY: FUNDRAISING MANAGER

Start date: immediate;
Salary negotiable

Busara Promotions seeks to recruit an experienced professional Fundraising Manager to secure funds for the annual Sauti za Busara festival.

The successful applicant will be based in Zanzibar. S/he must be fully computer literate, with proven success in grant proposal-writing. Written and spoken English must be excellent, with proficiency in Swahili desirable.

Interested candidates please email your CV and letter of motivation to reach (safina@busara.or.tz) before 9 July 2017.