7 – 10 February 2019

Sauti za Busara 2019

Waandaaji  kwa sasa wapo katika maandalizi ya tamasha la 16 la Sauti za Busara ambalo litafanyika Mji Mkongwe Zanzibar kuanzia tarehe 7 – 10 February 2019.

Katika siku nne tamasha linakusudia kufanya:

 • Jukwaa 3: Wasanii 400, Vikundi 40, Shoo 44 and nights
 • Matembezi ya ufunguzi:Maeneo mbalimbali ya Mji wa Zanzibar na viunga vyake yatapambwa na vionjo vya mtembezi ya ufunguzi!
 • Swahili Encounters: Ushirikiano wa wasanii wa wenyeji na wageni
 • Movers & Shakers: Mazungumzo/ mkutano kati ya wataalamu wa tasnia ya sanaa ya muziki wa ndani na nje
 • Busara Xtra: Matukio mbalimbali yatakayoandaliwa na wenyeji

Orodha kamili ya wasanii na matukio kwa ujumla yatatangazwa mwezi wa kumi.


Tiketi & Pasi

Tafadhali nunua pasi ya VIP ili kuonyesha sapoti yako kwa tamasha na kufanya Sauti za Buara iendelee.

Punguzo maalum kwa Watanzania na wenye pasipoti za nchi za Afrika.

Tiketi na Pasi za tamasha zinapatikana sasa mtandaoni. bei ya 'Early-Bird Supersaver' zinatumika hadi Oktoba 31 tu, kulingana na upatikanaji.

Tuonane Sauti za Busara 2019

SzB2019-postcard

backformore2019
Facebook icon twitter icon youtube icon flickr icon instagram icon

BUSARA NEWSLETTER

subscribe
unsubscribe

MAIN DONOR, BUSARA PROMOTIONS

 • Norwegian Embassy

MAIN FESTIVAL DONORS & SPONSORS

 • NEmb Switzerland

DONORS

To become a donor and see your logo on this page please see get involved.

SPONSORS

 • Zanlink
 • www.memories-zanzibar.com

To become a sponsor and see your logo on this page please see get involved.

PARTNERS

 • Embassy-of-France
 • Embassy of Germany

To become a partner and see your logo on this page please see get involved.

MEDIA PARTNERS

 • Zenji FM

To become a partner and see your logo on this page please see get involved.

HOTEL PARTNERS

 • www.emerson-zanzibar.com

To become a partner and see your logo on this page please see get involved.

See full list of Donors & Sponsors