Busara symbol - click for home page

BUSARA NEWSLETTER

December 2007

In this edition:

Tamasha la muziki Sauti za Busara

Old Fort, Stone Town, 7 - 10 February 2008

Sherehe ya mwisho ya tamasha, 12 Feburuari 2008

Accommodation, Airport Transfers, Tours & Safaris

KITABU CHA BUSARA 5

BUSARA 5 CD (+ DVD)

WITHOUT WHOM...

BUSARA WEBSITE

TAREHE NA MATUKIO YATAKAYOJILI ZANZIBAR ...

Contact Us

 

A sneak preview of 2008 postcardSalaam kutoka mji mkongwe na ni matumaini yetu kuwa ujumbe huu utawafikia mkiwa wazima. Joto linaendelea na mategemeo makubwa hapa Zanzibar kwa muda wa wiki chache zilizobaki mpaka kufikia tamasha la tano la Sauti za Busara. Tupo katika ofisi za tamasha tukiendelea na maandalizi ya tamasha, kama feni zinafanya kazi kwa muda wa siku nzima kwa kasi kubwa mpaka  usiku wa manane.Mtikisiko wa maji kutoka bahari ya hindi na viburudisho toka pande zote za dunia.

Kwa wapenzi wa muziki wa Afrika mtakuwa mmegundua kuwa kila mwaka BBC na fROOTS huwa inachagua vikundi vinne kutoka katika kila bara. Moja kati ya Bara lililochaguliwa mwaka huu bora mwaka 2006 ni vikundi viwili kutoka Afrika magharibi na kimoja kutoka Afrika mashariki mwaka 2007, maksi zilikuwa sawa kwa magharibi 2, mashariki 1. Waliochaguliwa wametangazwa kuwa washindi wa 2008 World Music Awards, Magharibi walipata 3 kwa Afrika mashariki hawakupata kitu.

Kutakuwa na CD itakayotoka kwa miaka yote iliyopita , tunaamini kuwa itakuwa sawa .Lakini kwa ushindi wa muziki wa live. Afrika mashariki itakuwa na nafasi .Tafadhali njoo Zanzibar februari na utakuwa hakimu na utaweza kuhukumu wewe mwenyewe kwa kile utakacho kiona.

Ni mara moja au mara mbili kwa mwaka kwa wasanii kutoka Afrika magharibi kushiriki Afrika mashariki (baadhi ya inchi za ulaya kuna band inayotumbuiza kila baada ya wiki! ) Sauti za Busara itakuwa na vikundi arobaini bora . Vikundi vinavyokuja kutoka Afrika mashariki kama mtakavyoona baadhi ya washiriki 2008, kutakuwa na Kora na ngoni kutoka upande wa magharibi pia watakuwa nasi katika kusherekea na kutupa burudani.

 

Tamasha la muziki Sauti za Busara

topback to the top

 

Ngome kongwe, Mji mkongwe, 7 mpaka 10 Feburuari 2008

 

Uthibitisho wa vikundi arobaini kutoka Afrika mashariki.

 

Bassekou

Bassekou Kouyate & Ngoni ba (Mali)

Mshindi wa BBC World Music Awards Album ya mwaka 2007.Kimechaguliwa kuwa Kikundi bora (Afrika) Na ni mgeni bora wa BBC Radio 3 World Music Awards 2008

Malouma (Mauritania)

Sauti ya Mauritania mwezi wa Augusti na Septemba 2007 walikuwa
namba moja katika World Music Charts Ulaya

 

Malouma
Maalesh

Maalesh (Comoros)

Kikundi bora , Bahari ya hindi, L’Ocean Indien Award, 2007 - 2008

 

 

 

SzB logo

na…

Seckou Keita Quartet + (West Africa / Europe)Yunasi (Kenya)Jahazi Modern Taarab (Tanzania)Bantu & Afrobeat Academy Band (West Africa / Europe)Bi Kidude (Zanzibar)Ahmed el Salam (North Africa / Europe)Bring the Noise! (Pan Africa)Z. Anto (Tanzania)Kassim (Tanzania)TMK Majita Original (Tanzania)Nako2Nako Soldiers (Tanzania)Mwana FA (Tanzania)Madee (Tanzania)Maurice Kirya (Uganda)Eric Wainaina & the Mapinduzi Band (Kenya)Jaymoe (Tanzania)Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar)National Taarab All Stars (Zanzibar)N'faly Kouyaté and Dunyakan (West Africa / Various)Nfithe (Mozambique)Sakaki Mango (Japan)7 Survival (Tanzania)Yange Yange Trio (Tanzania)Splendid Theatre (Tanzania)Akhenaton Family (Zanzibar)Afrodynamix (West Africa / Europe)Celloman (Europe)Mrisho Mpoto (Tanzania)Moto Combat (Kigoma cha Uchokozi) (Tanzania)Black Roots (Zanzibar)Tibirinzi All Stars (Pemba)Kiki Taarab (Zanzibar)Jakamoyo (Tanzania)Kijiji Family The Big Nation (Zanzibar) ...na wengineo wengi!

 

Jukwaa litakuwa katikakati ya migomba ndani ya ukumbi wa Ngome Kongwe katika Mji Mkongwe. UNESCO – listed World Heritage Site. Maonyesho yataanza kuanzia saa 10 jioni mpaka saa 7 usiku kila siku. Kutakuwa na  vibanda vya kuuzia chakula na vitafunwa , muziki wa ndani na nje , nguo na vitu vya asili.

Sauti za Busara  inawakaribisha watu wa rika zote.Tamasha la Sauti za Busara limeandaliwa na Busara Promotions ambayo ni taasisi isiyo ya kibiashara iliyopo Zanzibar. KIINGILIO BURE KUANZIA SAA 10 JIONI MPAKA SAA 12:30 JIONI

Tembelea  www.busaramusic.org kwa maelezo zaidi

 

Sherehe ya mwisho ya tamasha, 12 Feburuari 2008

 

Tunapenda kuwatangazia kuwa sherehe hiyo itafanyika kwa ushirikiano wa muziki live, DJs na sarakasi ambayo itafanyika Fairmont Zanzibar, Matemwe

Fairmont Zanzibar ipo kaskazini mashariki mwa Zanzibar,amboyo imepambwa na fukwe nzuri yenye mchanga mweupe na majabari ya kuvutia.

Kwa maelezo zaidi tembelea: www.Fairmont.com/Zanzibar

 

Accommodation, Airport Transfers, Tours & Safaris

 

For all your travel and accommodation enquiries within Zanzibar and flights anywhere in Africa, we warmly recommend Tabasam Tours at www.tabasamzanzibar.com.

 

They can arrange airport transfers, book accommodation and reserve 4-day festival passes. For special discounts on some hotels, be sure to mention reference "BUSARA". While visiting Zanzibar you may also be interested in, for example: Beach Hotels & Resorts, Diving and Snorkeling, Dhow and Sunset Cruises, Dolphin Tours, Spice Tours, Stone Town Tour, Prison Island Tour, Jozani Forest Tour, Tanzania mainland Safaris, Car and Motorbike Hire.

 

KITABU CHA BUSARA 5

topback to the top

busara picture book
animated text about Busara book

Kwa muda wa siku na miezi kupita tumekuwa tukiandika na kuandaa kuchagua mchanganyiko wa picha za historia ya tamasha kwa kitabu cha Busara, kitaandaliwa kwa ushirikiano wa Zanzibar Gallery. Shukurani nyingi kwa ZG waliokuwa bega kwa bega kwa kusaidiana kwa kazi hii kwa upendo.

 

Kuwa na uhakika wa kupata nakala ya (“Busara – Promoting East African Music” ) kitabu hiki kitakacho patikana katika maktaba zote kuanzia Januari.

BUSARA 5 CD (+ DVD)

topback to the top

 

CD advertTukiwa katika  kusherehekea miaka mitano “Zanzibar Festival Classics” ni  CD  mchanganyiko ( ikijumuisha DVD bure ) iliyoshirikishwa na uchaguzi wa wasanii ambao wamekwisha shiriki katika tamasha la Sauti za Busara kwa miaka yote iliyopita.
Walioshiriki ni  Bi Kidude, Culture Musical Club, The Collaboration ft, Chiwoniso, Mo'Some Big Noise, Kilimanjaro Band, Juma Nature, Chibite, Jagwa Music, Ferooz Na wengine wengi…..

Zanzibar Festival Classics itakuwa ya kimataifa Feburuari 2008, shukurani kwa Fourth World Music (UK)

Kwa maelezo zaidi: http://www.fourthworld.co.uk/Zanzibar%20Festival%20Classics.html

 

WITHOUT WHOM…

topback to the top

 

 

Sauti za Busara 2008 isingeweza kufanyika bila ya udhamini wa :

Zantel

Zantel

Ford Foundation

Ford Foundation

British Council

British Council, Tanzania

CULTURESFRANCE

CULTURESFRANCE

Air Tanzania
Fairmont Zanzibar logo
ZG Design
Kanga Kabisa logo
ZanAir
Holiday Inn
Memories of Zanzibar logo
Embassy of France

Ubalozi wa Ufaransa

Music Crossroads, fROOTS Magazine, Ubalozi wa Ujerumani, Zanlink, Tabasam Tours, Mercury’s Restaurant, Archipelago Café-Restaurant, Café Foro, Stone Town Café, Alliance Française, DHL, Dhow Countries Music Academy, and www.zanzibar.net

Thanks also to:
Ministry for Information, Culture & Sports,
and to all the people of Zanzibar: "Shukurani kwa kukubali kuwa tamasha hili ni letu sote na mchango wenu ndio ambao umelifanikisha."

 

 

BUSARA WEBSITE

topback to the top

 

Kwa walio wengi tayari mmegundua , busaramusic.com haipo na haifanyi kazi kwa muda wa wiki mbili . Tunaomba radhi kwa hilo na tunawaahidi kuwa tunalifanyia kazi. Kwa sasa hivi habari na maelezo ya tamasha yatapatikana
Katika :

www.busaramusic.org

 

TAREHE NA MATUKIO YATAKAYOJILI ZANZIBAR ...

topback to the top

  

Sherehe itakayo fanyika katika fukwe za bahari East Coast
Jumamosi 22 Desemba, kucha kutwa, kiingilio bure
Kinazi Upepo, Paje – kwa ushirikiano wa DJ YUSUF na the Routes in Rhythm sound system
Cheza muziki toka pande zote za dunia

 

DJ - in the house

Onyesho la Filamu: As Old As My Tongue: Maisha ya Bi Kidude
Eid ya kwanza na Eid pili ( siku ya kwanza na siku ya pili ya Eid ul Hajj ) saa 2 usiku na saa 3:30 usiku
Itafanyika katika bustani ya Forodhani, Mji Mkongwe, Kiingilio bure
Kwa maelezo zaidi www.asoldasmytongue.net na www.myspace.com/screenstation

 

 

BK

Sherehe ya Mwaka Mpya ufukweni mwa bahari
Jumatatu 31 Desemba,Jioni 2007 mpaka majogoo 2008, kiingilio bure
Kinazi Upepo , Paje – Kwa ushirikiano wa DJ YUSUF na Routes in Rhythm sound system
Cheza muziki toka pande zote za dunia – hakuna Kulala 

 

dancing girls

 

Salaam na tunawatakia kila la Kheri katika Eid Mubarak,

Kheri ya krismasi na mwaka mpya, afya njema na Busara ijayo 2008.

AHSANTENI

Contact Us

topback to the top

 

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Busara Promotions, PO Box 3635, Zanzibar, Tanzania

busara@zanlink.com

Tel:  +255 24 223 2423  or +255 784 925 499 or +255 773 822 294

Find us in Stone Town, between Africa House and Hotel Serena, opposite Amore Mio.