Do not reply to this email address. If you would like to get in touch please use busara@zanlink.com
Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@zanlink.com

Busara symbol - click for home page

BUSARA NEWSLETTER

June 2010

In this edition:
SzB logo

 

>>>In English
>>>En français ici
>>> kwa Kiswahili hapa

Wito kwa wasanii

Kilua Ngoma

“Tamasha huwapa nafasi vijana ambao wanapenda utamaduni wa asili,huwapa nafasi wasanii kukutana na kubadilishana mawazo,kutunza uasilia ,huwapa nafasi za kazi wenyeji na kuuitangaza Zanzibar kama kivutio kwa watalii.”

Yusuf Mahmoud, Mkurugenzi wa tamasha

Call for Artists

Wito kwa wasanii

Appel d’Artistes

Wito kwa vikundi vyote vya Afrika!

Je muziki wako ni asilimia mia live?
Je muziki wako ni wa kiafrika?
Je unania ya kushiriki katika tamasha lijalo Februari Afrika Mashariki?

Kama jibu ni ndiyo – shiriki sassa kwa kutuma maombi yako tuma sasa !

Tamasha la Sauti za Busara linawajumuisha watu pamoja. Kila februari ndani ya Mji Mkongwe ni muziki live na vionjo vya Afrika. Ni siku tano katika jukwaa hii ikiwa ni vikundi ishirini kutoka Tanzania na ishirini kutoka sehemu zingine barani Afrika. Asilimia mia ni live – si ruhusa kuimba kwa kutumia cd. Mambo mengine yanayofanyika wakati wa tamasha ni maandamano ya ufunguzi, mikutano na mafunzo mbali mbali.

 

Miaka iliyopita zaidi ya vikundi 280 vilishiriki , ikiwa pamoja na  Jose Chameleone, Samba Mapangala & Orchestra Virunga, Didier Awadi, Bassekou Kouyate & Ngoni ba, Thandiswa, Jagwa Music, Ba Cissoko, Nyota Ndogo, Natacha Atlas, Culture Musical Club na wengineo

Ni rahisi kutuma maombi
Kikundi kitashughulikiwa endapo tutapokea fomu
na nakala ya kazi ya msanii kabla ya tarehe 31 July 2010.

Jopo la uchaguzi litakaa na kuchagua vikundi vitakavyoshiriki katika tamasha. Vikundi vyote vitajulishwa ifikapo mwezi wa tisa.

Kwa wasanii watakaochaguliwa kushiriki katika tamasha kwa kawaida waandaji wa tamasha hulipa ada ya onyesho pamoja posho kwa kila msanii awapo Zanzibar,hii ikiwa ni usafiri, malazi, chakula na matumizi madogo.Kwa wasanii kutoka nje ya Tanzania huwa tunawasaidia kutafuta wadhamini wa usafiri.

 

 

Sosolya Dance Academy(Uganda)
Sosolya Dance Academy(Uganda)

Ba Cissoko ( Guinea)
Ba Cissoko (Guinea)

Ujumbe kutoka kwa Rais

Presents Busara goodies to President Kikwete
Simai Mohamed, Vice Chair (l) presents Busara goodies to President Kikwete (r), February 2010

’'Tamasha la Sauti za Busara ni muhimu. Linatoa nafasi nzuri kwa wageni na wenyeji katika utofauti wa maisha kukutana na kubadilishana mawazo na kukubali ubora, utajiri wa aina mbali mbali ya muziki tulionao.Kwa maana hii tamasha linachangia kujenga utamaduni na kukuza urafiki”

Mheshimiwa. Jakaya M Kikwete,
Rais wa Jamuhuri ya Muungano Tanzania

 

Bonyeza hapa kuangalia to videos, tovuti, picha na habari zingine kupitia earlier festivals

Wito kwa wadhamini na wafadhili

Tamasha haliwezi kuendelea bila malengo na msaada wa wadhamini na wafadhili.

Wafadhili - Sauti za Busara fulfils many criteria for development funding - in peace building, poverty alleviation, strengthening civil society, creation of employment, skill-sharing and capacity-building, promotion of cultural diversity, freedom of expression and gender balance.

Tutumie barua pepe kupitia busara@zanlink.com kwa maelezo zaidi na bajeti.

Wadhamini - Tamasha linatoa nafasi ya kutangaza nafasi hii ni kwa wadhamini.Kwa USD $6000 tasilimu ama kusaidia kwa njia nyinginge. Faida zitakazopatikana ni kama zifuatazo:

Tovuti        

 

 

Tangazo katika ukurasa wa tamasha   (15,000 wanaotembelea/kwa siku)

 

 

Nembo katika ukurasa wa wadhamini

 

 

 

 

Mawasiliano

 

 

Habari za tamasha (48,000 waliojiunga duniani)

 

 

Sahihi katika barua pepe(1000/kwa mwezi)

 

 

 

 

Ratiba ya tamasha ( nakala 3000) 

 

 

Ukurasa mzima

 

 

Nembo katika ukurasa wa wadhamini

 

 

 

 

Sehemu ya onyesho (watazamaji kadilio watu 18,000)

 

 

Nafasi ya kuweka banner (3m x 3m)

 

 

MCs watatangaza , kila siku jukwaani

 

 

Nembo katika banner ya wadhamini (ndani na nje ya ukumbi)

 

Wasiliana nasi busara@zanlink.com kwa maelezo zaidi.

Pumzika kwa amani

Yussuf
Yussuf A Aley aka Chuchu by Peter Bennett

Tunasikitika kutangaza msiba wa Yussuf A Aley  kwa jina maarufu Chuchu, baada ya kuugua kwa muda. Chuchu alikwenda mjini Nairobi kwa matibabu na ndipo hapo umauti ulipomfika. Mwili wake uliletwa Zanzibar  ambapo mamia ya watu walihudhulia kwenye mazishi tarehe 5 June.

Chuchu alikuwa mpenzi wa muziki katika maisha yake. Alijitolea kuukuza mziki hapa Zanzibar. Alipata mafanikio makubwa ikiwa ni kuanzisha kikundi maarufu cha muziki kilichokuwa kikijulikana kwa jina la Chuchu Sound band, alikuwa na studio ya kurekodia muziki Heartbeat Record Studio pamoja na redio inayojulikana kama Chuchu FM redio .
Chuchu alikuwa mwanzilishi na mwanakamati wa Bodi ya Busara Promotions.

Chuchu tutakukumbuka daima pia utabaki katika mioyo yetu daima.

 

Busara kuhamia ofisi mpya

Tunapenda kuwatangazia kuwa kuanzia Julai 1 2010 ofisi ya Busara Promotions itahamia Maisara, ni kilometa 1 kutoka Mji Mkongwe njia inayoelekea uwanja wa ndege. Uliza“Golf Club” utatupata moja kwa moja tumetizama na club hiyo.Sanduku letu la posta, namba za simu na barua pepe zitakuwa zile zile.Wiki mbili zijazo tutawakaribisha wafanyakazi wapya wawili ambao watafanya timu kuwa kama ifuatavyo:

Director General - Yusuf Mahmoud                          Projects Manager - Rosie Carter
Deputy Director - Andrea Gros                                Office Manager - Stellah Stephen
Technical Manager - Custodes Baretto                  Office Assistant - Mjusi Kafir
Marketing Manager - Violet Hlabangane       

Matamasha ya muziki Afrika

Siyo sisi tu peke yetu, tembelea tovuti nyingine zinazoandaa matamasha Afrika ambazo tunashauri, ni waandaji wa matasha ya muziki live: www.busaramusic.org/database/tops.php

African music under African skies
audience

Orodha ya nyimbo za kombe la dunia

20 bora za kombe la dunia
Zitakuwa zikisikika mpaka Julai!

Nas & Damian Marley (USA/Jamaica) – Africa Must Wake Up
Youssou N’dour (Senegal) – I Bring What I Love
Nneka (Nigeria/Germany) – Viva Africa
Konono No 1 (DRC) – Assume Crash Position
Lucky Dube (S Africa) - Remember Me
Pepe Kalle (DRC) – Roger Milla
K’naan (Somalia/Canada) – Wavin’ the Flag
Thandiswa (S Africa) – Ibokwe
Jorge Ben (Brazil) - Ponta de Lança Africano (Umbabarauma)
Femi Kuti (Nigeria) – You Better Ask Yourself (Bost & Bim remix)
Juma Nature & TMK Wanaume Halisi (Tanzania) – Tatu Bila 3-0
Shakira ft Freshlyground (Colombia/S Africa) – Waka Waka
Black Eyed Peas (USA) – One Tribe
Magic System (Cote d’Ivoire) – On a Espoir
Phuzekhemisi (S Africa) – Izindaba Zakho
J Pre, Wyclef Jean (USA/Haiti) – Ke Nako
Pitbull, TKZee & Dario (S Africa) – Game On
R. Kelly ft Soweto Singers (USA/S Africa) - Sign of A Victory  
Refugee All Stars (Sierra Leone) – Rise and Shine
Akon ft Keri Hilson (USA) – Oh Africa
Siphiwo ft Nelson Mandela - Message of Hope

compiled by DJ Yusuf

Wasiliana nasi

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tunapatikana njia iendayo uwanja wa ndege , tumetizamana na Golf Club. 

busara@zanlink.com

Tel: +255 24 223 2423

or +255 773 822 294


Please forward this mail to friends who may be interested. To subscribe or unsubscribe to our newsletter – just type your email address in the box at
www.busaramusic.org