Do not reply to this email address. If you would like to get in touch please use busara@busara.or.tz
Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.ot.tz

This e-newsletter is sent to 53,000 subscribers

Busara symbol - click for home page

BUSARA NEWSLETTER

January 2011

Katika toleo hili :
SzB logo

>>> Kiswahili hapa
>>> English here

Toleo la 8 la Sauti za Busara 9 - 13 Feb

topback to the top

festival parade

Zimebaki wiki tano tu ...

Salamu tele kutoka Kisiwani Zanzibar tamasha la nane la sauti za Busara linatarajia kukuletea

“habari njema kwa mara nyingine tena” kutoka Afrika, Shangani(Mji Mkongwe) inajiandaa kwa mshauku mkubwa huku mapromota wa Kimziki ,

wapenda Utamaduni na Waandishi wa Habari  kutoka kila kona ya Sayari yetu watarijiwa kuwasili Unguja

Muziki wa afrika chini ya anga ya kiafrika

topback to the top

2011 Wasanii waliohakiki

(see 10 most looked at)

Kwa siku tano mfululizo kuanzia Tar 9-13 Mwezi wa Pili. Jukwaa kuu la ngome kongwe litawaletea Maonyesho kabambe”live”ya zaidi ya makundi 40 ya Afrika Mashariki na Mataifa mbalimbali yakiwemo:

 

Orchestre Poly Rythmo de Cotonou (Benin)  Blick Bassy (Cameroon)  Otentikk Street Brothers (Mauritius)  African Stars Band (aka Twanga Pepeta) (Tanzania)  Mlimani Park Orchestra (Tanzania)  Kwani Experience (Afrika kusini)  Culture Musical Club (Zanzibar)  Bi Kidude (Zanzibar)  Jagwa Music (Tanzania)  Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar)  Bismillahi Gargar (Kenya)  Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar)  Djeli Moussa Diawara (Guinea)  Christine Salem (Reunion)  Yaaba Funk (UK)  Muthoni The Drummer Queen (Kenya)  Jahazi Modern Taarab (Tanzania)  Sinachuki Kidumbak (Zanzibar)  Les Frères Sissoko (Senegal)  Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden)  Sukiafrica Sukiyaki Allstars (Pan Africa / Far East)  Groove Lélé (Reunion)  Vusa Mkhaya & Band (Zimbabwe / Various)  Djaaka (Mozambique)  Nomakanjani Arts (Zambia)  Percussion Discussion Afrika (Uganda)  Tunaweza Band (Tanzania)  Staff Band Namasabo (Tanzania)  Swahili Encounters Group (Zanzibar / Various)  NEWS Quartet (Mauritania / Various)  Lelelele Africa (Kenya)  Atemi & the Ma3 Band (Kenya)  Black Roots (Zanzibar)  Sauda (Tanzania)  Wanyambukwa Artist Group (Tanzania)  Nyota Kali Band (Tanzania)  Cross Border (Zanzibar) na wengineo wengi

Kuanzia Jumatano hadi Jumapili, makundi zaidi ya nane yatakuletea maonyesho tofauti kila siku.Bendi zenye majina makubwa zitakutanishwa na bendi zenye wasanii chipkizi.Vikundi bora thelethini toka Zanzibar,Tanzania Bara na Afrika Mashariki vitajumuika  jukwaa moja na makundi kumi na kitu kutoka Barani Afrika bendi wakilishi toka Nchi Kama Mozambiki,Afrika ya Kusini,Reunion,Mauritius,Kameroon,Benini,Guinea,Conkary na Senegali.Maonyesho yote yakimziki yalopangwa kufanyika jukwaa kuu yatakua chezwa live. Maonyesho yatafunguliwa saa 11 jioni kila siku na kuendelea bila kusimama hadi bendi ya mwisho itakapopanda jukwaani saa 6 usiku kufunga siku.Viingilio ni Bure hadi saa 12 jioni nakufuatiwa na kiingilio cha shilingi 2000 sawasawa na Euro moja tuu kwakila Mtanzania kwa maelezo zaidi bofya hapa,Tiketi na bei.

Zaidi mashabiki 5000 kila siku wanatarijiwa kufika ikiwa asilimia 75% kutoka Tanzania  na waliobaki 35% toka nchi mbalimbali za Afrika na Nje Sauti za Busara Ndio tukio la kipekee ndani ya Afrika Mashariki na limejinyakulia sifa na umaarufu Mkubwa kwakua “Ndio tamasha la kirafiki zaidi Ulimwenguni”.

 

100% live on stage - no playback!

Blick Bassy

Blick Bassy (Cameroon)

 
Atemi

Atemi & the Ma3 Band (Kenya)

Sauda

Sauda (Tanzania)

 

Vusa Mkhaya

Vusa Mkhaya (Zimbabwe)

night audience

Maandamano ya ufunguzi

topback to the top

Maandamano ya ufunguzi wa tamasha:yataanza rasmi katika ofisi mpya za Sauti za Busara zilizopo Maisara( njia ya Uwanja wa ndege) mnamo saa Nane mchana siku ya Jumatano Tarehe 9. Maandamano haya yanatarijiwa kuwa makubwa kuliko yote yaliowahi kutokea kisiwani Zanzibar, yakisheheni vikundi mbalimbali vya wanangongoti,sarakasi,Ngoma za kiasili,Beni,brass bendi maarufu ya magereza wote wata endelea kukatisha mitaa mbalimbali  ya Unguja na kuwasili  tamati yake Ngomekongwe mnamo saa Kumi na nusu jioni. Bofya hapa Maandamano ya ufunguzi.

 

carnivalparade

Ratiba ya maonyesho

topback to the top

Wed 9   4:30pm   Sauti za Busara event Carnival Parade arrives  

Old Fort

  5:00pm   Sauti za Busara event Tunaweza Band (Tanzania)  

Old Fort

  5:55pm   Sauti za Busara event Les Frères Sissoko (Senegal)  

Old Fort

  7:00pm   Sauti za Busara event Mohamed Ilyas & Nyota Zameremeta (Zanzibar)  

Old Fort

    Sauti za Busara event ft Bi Kidude  

Old Fort

  8:20pm   Sauti za Busara event Wanyambukwa Artist Group (Tanzania)  

Old Fort

  9:10pm   Sauti za Busara event Maulidi ya Homu ya Mtendeni (Zanzibar)  

Old Fort

  9:40pm   Sauti za Busara event Christine Salem (Reunion)  

Old Fort

  10:45pm   Sauti za Busara event Percussion Discussion Afrika (Uganda)  

Old Fort

  11:45pm   Sauti za Busara event Jahazi Modern Taarab (Tanzania)  

Old Fort

Thu 10   5:00pm   Sauti za Busara event Sauda (Tanzania)  

Old Fort

  5:55pm   Sauti za Busara event Les Frères Sissoko (Senegal)  

Old Fort

  7:00pm   Sauti za Busara event Sukiafrica Sukiyaki Allstars (Pan Africa / Far East)  

Old Fort

  8:20pm   Video clips Kinshasa Symphony (95mins)  

Amphitheatre

    Sauti za Busara event Black Roots (Zanzibar)  

Old Fort

  9:10pm   Sauti za Busara event Groove Lélé (Reunion)  

Old Fort

  10:15pm   Sauti za Busara event Orchestre Poly Rythmo de Cotonou (Benin)  

Old Fort

  11:25pm   Sauti za Busara event Sinachuki Kidumbak (Zanzibar)  

Old Fort

    12:20am   Sauti za Busara event Mlimani Park Orchestra (Tanzania)  

Old Fort

Fri 11   4:30pm   Sauti za Busara event Cross Border (Zanzibar)  

Old Fort

  5:25pm   Sauti za Busara event Swahili Encounters Group (Zanzibar / Various)  

Old Fort

  6:05pm   Sauti za Busara event NEWS Quartet (Mauritania / Various)  

Old Fort

  7:00pm   Sauti za Busara event Culture Musical Club (Zanzibar)  

Old Fort

  8:20pm   Video clips Diamonds in the Rough (73mins)  

Amphitheatre

    Sauti za Busara event Bismillahi Gargar (Kenya)  

Old Fort

  9:20pm   Sauti za Busara event Blick Bassy (Cameroon)  

Old Fort

  9:50pm   Video clips Mwamba Ngoma (74mins)  

Amphitheatre

  10:15pm   Sauti za Busara event Kwani Experience (South Africa)  

Old Fort

  11:20pm   Sauti za Busara event Otentikk Street Brothers (Mauritius)  

Old Fort

  12:15am   Sauti za Busara event Jagwa Music (Tanzania)  

Old Fort

Sat 12   5:00pm   Sauti za Busara event Nyota Kali Band (Tanzania)  

Old Fort

  5:55pm   Sauti za Busara event Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden)  

Old Fort

  7:00pm   Sauti za Busara event Lelelele Africa (Kenya)  

Old Fort

  8:20pm   Video clips Zanzibar Musical Club (85mins)  

Amphitheatre

  9:10pm   Sauti za Busara event Djaaka (Mozambique)  

Old Fort

  9:50pm   Video clips Siaka, An African Musician (79mins)  

Amphitheatre

  10:00pm   Sauti za Busara event Muthoni The Drummer Queen (Kenya)  

Old Fort

  11:00pm   Sauti za Busara event Orchestre Poly Rythmo de Cotonou (Benin)  

Old Fort

  12:15am   Sauti za Busara event Otentikk Street Brothers (Mauritius)  

Old Fort

Sun 13   5:00pm   Sauti za Busara event Vusa Mkhaya & Band (Zimbabwe / Various)  

Old Fort

  5:55pm   Sauti za Busara event Staff Band Namasabo (Tanzania)  

Old Fort

  7:00pm   Sauti za Busara event Nomakanjani Arts (Zambia)  

Old Fort

  8:20pm   Video clips As Old As My Tongue (66mins)  

Amphitheatre

    Sauti za Busara event Atemi & the Ma3 Band (Kenya)  

Old Fort

  9:10pm   Sauti za Busara event Blick Bassy (Cameroon)  

Old Fort

  9:50pm   Video clips African Underground: Democracy in Dakar (70mins)  

Amphitheatre

  10:15pm   Sauti za Busara event Djeli Moussa Diawara (Guinea)  

Old Fort

  11:20pm   Sauti za Busara event Yaaba Funk (UK)  

Old Fort

  12:25am   Sauti za Busara event African Stars Band (aka Twanga Pepeta) (Tanzania)  

Old Fort

 

 

Ni nini zaidi kinaendelea ?

topback to the top

Swahili Encounters: kwa siku nne mfululizo  wasanii washiriki toka ndani na nje ya nchi watakusanyika katika kongamano  la kipekee nakufanyia kazi kutafsiri nyimbo za Kiswahili ambazo zitapata fursa kwa pamoja kuonyeshwa siku ya mwisho ya ufungaji wa tamasha. Bofya Swahili Encounters.

Swahili Encounters

Semina na Kongamano: Kutakua na karakana za kimziki,kisanii,uongozi wa sanaa,uandishi wa makala za sanaa, watunzi na watengenezaji filamu na ufundi mitambo ikiwemo mataa na sauti kutoka kwa wataalumu wa jumuia ya Afrika Mashariki.

Mover&shakers: Kutakua na mtandao maalumu wa kila siku unawakutanisha wataalamu wa sanaa toka ndani na nje ya nchi.

Filamu za kimziki za kiafrika:documentari za kimziki,video na filamu fatilizi za maonyesho ya live; Kwa siku nne mfululizo kilasiku usiku kuaanzia Alhamisi tarehe 10 mpaka Jumapili tarehe 13 mwezi wa pili,ukumbi wa Amfi theatre Ngome Kongwe utageuka kua ukumbi wa filamu za kimziki za kiafrika, kuanzia saa Moja usiku hadi saa Mbili video mziki bora barani Afrika zitachezwa, nakufuatiwa kuanzia saa mbili na nusu hadi saa nne kasoro dakika kumi Documentari mbili za  wanamziki na kutoka Tanzania Bara,Zanzibar,Uganda,Cote D Ivore,Senegali na DRC zitachezwa.Kwa maelezo zaidi tembelea Filamu za muziki wa kiafrika

Soko la Tamasha: Tembelea soko letu kujipatia  vyakula,vinywaji,mziki,vipodozi,nguo na kazi za mikono.

Busara Xtra:  wakati wa tamasha kisiwa huchangamka na matukio mbalimbali yanayoendelea yanayo ambatana na tamasha la Sauti za Busara matukio hayo yakiwemo;ngoma za kienyeji,maonyesho ya mavazi,mashindano ya ngalawa,open mic kwa wafokaji,afterparties na maonyesho maalumu ya taarabu yanayoandaliwa na weenyeji wa Zanzibar. Tembelea hapa kwa maelezo zaidi Busara Xtra.

Tausi Womens

Tiketi na Pasi

topback to the top

Kadi za BURE siku ya ufunguzi

kwa wanachama wote wa barua pepe hii

Siku ya ufunguzi

jumatano 9 Februari 2011
10:30jioni hadi usiku

Kabla ya saa 2 usiku TU

Bei na Punguzo

Zinapatikana Ngome Kongwe kila siku kuanzia tarehe 8 jumanne saa 4 asubuhi

Wageni wa kimataifa

 

SIKU MOJA

Tamasha zima
( siku 5)

Pasi ya siku nzima
(kwenda na kurudi)

25,000/-
(US$20)

65,000/-
(US$52)

Pasi ya VIP
(viti vya kukaa)

50,000/-
(US$40)

125,000/-
(US$100)

Wananchi wa afrika mashariki

(Kitambulisho muhimu)

 

SIKU MOJA
 

Tamasha zima

(siku 5 )

kiingilio kabla ya saa 11 jioni

5,000/-

n/a

Pasi ya siku nzima
(kwenda na kurudi)

12,000/- 

30,000/-

Pasi ya VIP
(viti vya kukaa)

30,000/-
(US$24)

75,000/-
(US$60)

Watanzania

(kitambulisho muhimu)

 

SIKU MOJA

Tamasha zima

( siku 5)
 

kiingilio kabla ya jua kuzama

(mara moja)

2,000/-

n/a


Pasi ya siku nzima
(kwenda na kurudi)

5,000/-

15,000/-

Pasi ya VIP
(viti vya kukaa)

25,000/-
(US$20)

60,000/-
(US$48)

Bei zote zitakuwa katika shilingi za kitanzania(TSh)
Kiingilio ni bure kwa raia wa Afrika mashariki kabla ya saa 12 jioni
Viti kwa watu maalumu vinapatikana (VIP).

Maonyesho yataanza saa 11 jioni kila siku mpaka saa 7 usiku
Kitambulisho kitahitajika kwa wakazi wa Afrika Mashariki na raia wa Tanzania kwa tiketi.

Vyombo vya Habari na uandishi wa habari

topback to the top

 

Tafadhali kumbuka kuwa mwisho kwa kupokea vibari ya waandishi wa habari ni tarehe 7 ijumaa Januari
Kwa maelezo zaidi tembelea muongozo na taratibu

 

press film crew

Wadhamini na Wafadhili

topback to the top

Bila hawa tusingefanikiwa …

Shukrani za dhati ziwaendee wadhamini wetu, Waandaji wote wa tamasha hili kwa moyo mkunjufu wanapenda kukiri kwa imani,maono na ukarimu wa hali ya juu uliotolewa na wafadhili,wadhamini,wafuasi,pamoja na wanamziki na wafanyakazi  kwa kazi nzito, ukosefu wa usingizi wakati wa uandaji wa tamasha yote ili kufanyikisha tukio hili.


principal sponsor

Zantel logo

main sponsors

  Norwegian Embassy  
Hivos GoeTheInstitut  US Embassy, DSM

logo sponsors

Memories Cultures France Gallery Tours ZGPH

media sponsors

fROOTS ZG

British Council, The German Embassy, SMOLE II, Southern Sun Dar es Salaam, Coastal Aviation, Ultimate Security, Tabasam Tours, Stone Town Traders, Stone Town Café, Mercury’s Restaurant, Archipelago Café & Restaurant, Monsoon Restaurant, Zanlink, ZG Films, Dhow Countries Music Academy, Linear Velocity, Footcandles, www.zanzibar.net


Pia shukrani kwa : Waziri wa habari,utamaduni, utalii na michezo, watu wote wa Zanzibar:
"Shukurani kwa kukubali kuwa tamasha hili ni letu sote na mchango wenu ndio ambao umelifanikisha."

Wasiliana nasi

topback to the top

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Facebook


Sauti za Busara tunapatikana katika
Facebook

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tunapatikana njia ya uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club 

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294


Please forward this mail to friends who may be interested. To subscribe or unsubscribe to our newsletter – just type your email address in the box at
www.busaramusic.org