This e-newsletter is sent to 55,565 subscribers

Do not reply to this email address. If you would like to get in touch please use busara@busara.or.tz
Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

Busara symbol - click for home page

BUSARA NEWSLETTER

June 2011

In this edition :
SzB logo

>>> Kiswahili hapa
>>> English here

Wito kwa mara ya mwisho kwa wasanii, Sauti za Busara 2012

topback to the top

Call for Artists

Wito kwa wasanii

Appel d’Artistes

Wito kwa wasanii

Wito kwa wasanii wa kiafrika kutoka popote pale walipo duniani. Jopo la uchaguzi wa wasanii litakutana mwezi wa nane ili kupanga mpangilio wa wasanii kwa ajili ya Tamasha la Sauti za Busara 2012. Kwa kujali maombi yako tunahitaji kopi ya nakala zako moja au mbili za hivi karibuni(CD au DVD), picha na maelezo mengine. Omba sasa muda wowote kabla 31 Julai 2011

carnivalparade

Wito kwa filamu za muziki wa kiafrika

topback to the top

Call for African music films

Wito kwa filamu za muziki

Appel aux films

Wito kwa filamu za muziki wa kiafrika


Tunatafuta filamu za muziki wa kiafrika; filamu ndefu au fupi za kuburudisha kutoka Afrika na kwengineko. Hizi zinaweza kuwa vipande vifupi fupi vya video, video za burudani, filamu za kikweli, filamu za maonyesho ya sinema. Omba muda wowote kabla tarehe 30 September 2011.

carnivalparade

 

Wito kwa wahisani na wadhamini

topback to the top

Wito kwa wahisani na wadhamini

Tamasha halitowezekana bila ya maoni na uungwaji mkono wa wahisani na wadhanini.Tunahitaji msaada wako ili kuendelea kuonyesha muziki wa kiafrika chini ya anga ya Afrika.


Wahisani - Sauti za Busara linatimiza vigezo vingi kwa ajili ya kuendeleza michango na kudhaminiwa katika kujenga amani, kupunguza umaskini, kuimarisha usitawi wa jamii, kutengeneza ajira, kubadilishana ujuzi, kujijenga uwezo, kukuza utamaduni, uhuru wa kusema na usawa wa kijinsia.


Tuma barua pepe kwa  marketing@busara.or.tz kuomba na kuchangia bajeti


Wadhamini - Tamasha la Sauti za Busara linatoa fursa ambayo haijawahi kutokea ya kuingia kwenye soko na kujitangaza kibiashara. Dhamini kwa dola 6000 tu na unaweza kuwa mdhamini wa logo yako.

Tuma barua pepe kwa busara@busara.or.tz au Bonyeza HAPA ili ushiriki.

Vitu adimu vya 2011

topback to the top

Vitu adimu vya 2011

Huu ni muda wa madaha wa Sauti za Busara

   

sousou

kwani  

Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden)

Kwani Experience (South Africa)

 
Sukiafrica blackroots Orchestre Poly Rythmo

Sukiafrica Sukiyaki Allstars (Pan Africa) by Eirik Folkedal

Black Roots (Zanzibar) by David Murphy, playing Indian Ocean Music Fiesta, Reunion 9 June, http://www.iomma.net/en/

Orchestre Poly Rythmo de Cotonou (Benin) by Eirik Folkedal

 

 

Kwa picha nyingi zaidi na video rasmi ya tamasha bonyeza video highlights au tembelea www.busaramusic.org

 
 

Shukrani kwa wote wanaotuunga mkono.

topback to the top

Waendesha tamasha wanafuraha kukiri juu ya imani, uono na ukarimu wa wahisani na wadhamini, ambao bila ya hao tamasha la Busara lisingewezekana. Tumeshapokea ahadi chache na tunahitaji ahadi nyingi zaidi za udhamini. Mpaka sasa Tamasha la busara 2012 linawezeshwa na:


Main Sponsors

Norwegian Embassy
hivos from the american people ACP Music Festivals network

Media Sponsors

fROOTS

BONYEZA HAPA upate kushiriki.


 

Wasiliana nasi

topback to the top

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Sauti za Busara katika facebook

 

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tunapatikana njia ya uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club 

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294


Please forward this mail to friends who may be interested. To subscribe or unsubscribe to our newsletter – just type your email address in the box at
www.busaramusic.org