This e-newsletter is sent to 56,823 subscribers

Do not reply to this email address. If you would like to get in touch please use busara@busara.or.tz
Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

BUSARA NEWSLETTER

July 2011
Busara symbol - click for home page
Katika toleo hili :
SzB logo

>>> Kiswahili hapa
>>> English here

Vitu vitakavyojili
 

Mwisho wa wito kwa wasanii Sauti za Busara 2012

topback to the top

 

Call for Artists

Wito kwa wasanii

Appel d’Artistes

 
carnivalparade

Mwisho wa wito kwa wasanii
Wanamuziki wote wa Kiafrika duniani kote. Huu ni mwisho wa wito kwa wasanii wanaotaka kushiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2012. Jopo la uchaguzi litakutana mnamo mwezi wa nane kuchagua wasanii watakaoshiriki katika tamasha la mwakani 2012. Ili maombi yako yaweze kushughulikiwa ni lazima tupokee nakala moja au mbili ya kazi yako ya hivi karibuni (CD au DVD), picha pamoja na maelezo ya kikundi. Tuma maombi yako kabla ya tarehe 31 Julai 2011

Wito wa Filamu za Muziki wa Kiafrika

topback to the top

 

Call for African music films

Wito kwa filamu za muziki

Appel aux films

 
SautizaBusara2011Highlights

Tunatafuta filamu za Muziki. Ili kuburudisha kwa kifupi au kirefu kutoka Bara la Afrika na Waafrika wote waishio nje. Hizi zinaweza kuwa nakala fupi za video na muziki, kumbukumbu ya maonyesho katika matamasha. Ili ushiriki Tuma sasa kabla ya tarehe 30 Septemba 2011.

Mashindano ya Ngoma Zanzibar

topback to the top

 
Wanyambukwa

Busara Promotions inapenda kuwaalika katika shindano la ngoma za asili ( vikundi ambavyo havina nakala ) Hii ni wazi kwa wanamuziki wote wa ngoma za asili kutoka Zanzibar. Tukio hili litafanyika kuanzia saa 3 kamili asubuhi siku ya Jumamosi tarehe 23 Julai katika ofisi za Busara Promotions, njia ya Uwanja wa ndege, Maisara.

 

Lengo la tukio hili ni kuwapa nafasi wanamuziki kuonyesha kazi zao ili waweze kushiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2012.Washindi watasaidiwa kuandaa maelezo ya kikundi kwa ajili ya vyombo vya habari pamoja na picha hii ikiwa ni pamoja na ushauri wa kiufundi. Tuzo kwa washindi ni kuonyesha vipaji vyao katika tamasha la Sauti za Busara 2012.

Ukurasa mpya wa Sauti za Busara katika Facebook

topback to the top

 
Sauti za Busara ina ukurasa mpya katika facebook ambayo tutakujulisha kila kitu kitakachojili. Tafadhali PENDA ukurasa huu katika http://www.facebook.com/sautizabusara

 

Wakati wa furaha ndani ya Zanzibar

Mambo mengi mazuri yatatokea hapa Zanzibar wiki chache zijazo.

Mandela poster

Sherehe ya kuzaliwa Nelson Mandela miaka 93

topback to the top

Tarehe 18 Julai tutasherehekea  miaka 93 ya mmoja kati ya viongozi mashuhuri duniani ambayo haijawahi kutokea. Ungana nasi katika mgahawa wa Mercury’s ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar siku ya Ijumaa tarehe 15 Julai ili tusherekee siku ya Madiba na tufurahie na DJ Yusuf  ambaye atapiga muziki kutoka pande zote za Afrika na kwingineko.

Tamasha la Jambiani Vunja Jungu ufukweni mwa bahari

topback to the top

 

Fukwe nzuri ya bahari Zanzibar kutafanyika tamasha  katika mtaa wa Mfumbwi Jambiani  mwishoni mwa wiki kuanzia tarehe 30 mpaka 31 Julai 2011. Kwa habari zaidi tembelea

  http://www.mambomagazine.com/jvj

Tamasha la Mwaka Kogwa

topback to the top

 
carnivalparade

Makunduchi, Zanzibar
Tarehe 20 mpaka 23 Julai 2011

Moja ya sherehe za zamani  za jadi Zanzibar ni zaidi maadhimisho ya Mwaka Kogwa. Tamasha hili ni alama ya kuwasili kwa mwaka mpya, au 'Nairuz' kulingana na kalenda Shiraz (Iran). Shirazi walikuwa wageni wa kwanza kukaa Zanzibar, na mambo mengi ya utamaduni wao walitakiwa kuishi ndani ya mazingira ya kiswahili.
www.mzuri-kaja.or.tz/mwaka.html
Tembelea Mambo Magazine kwa picha zaidi www.youtube.com/watch?v=gBHpOnxvUko 

Rafiki wa Busara

topback to the top

 

Kuwa Rafiki wa Busara na onyesha msaada wako katika Tamasha Namba moja Afrika Mashariki.

Tovuti yetu hutembelewa na watu zaidi ya 500,000 kwa mwezi (million na nusu mwezi January – February)

Kuwa Rafiki wa Busara kwa kuchangia US$600 / kwa miezi 8, toa oda yako ili uweze kujitangaza katika ratiba za tamasha

Wasiliana na marketing@busara.or.tz kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujitangaza katika tamasha.
Tuna njia nyingi ambazo zinaweza kuwafikia watu ambao ni lengo lako. Kama utapenda kuwa mdhamini au kujitangaza, maelezo yanapatikana ukihitaji.

Wadhamini

topback to the top

 

Tamasha haliwezi kufanyika bila ya  michango  kutoka kwa wadhamini na wafadhili. Tunahitaji msaada ili tuweze kuliendeleza  Tamasha la Muziki wa Afrika chini ya Anga za Afrika.

barua pepe marketing@busara.or.tz kwa maelezo zaidi , au Bofya hapa ili uweze kuwa mmoja kati ya wadhamini.

Shukrani kwa Wahifadhi

topback to the top

 

Waandaaji wa tamasha wanafuraha kukiri juu ya imani, uono na ukarimu wa wahisani na wadhamini, ambao bila ya hao tamasha la Busara lisingewezekana. Tumeshapokea ahadi chache na tunahitaji ahadi nyingi zaidi za udhamini. Mpaka sasa Tamasha la busara 2012 linawezeshwa na:


Main Sponsors

Norwegian Embassy
hivos from the american people RoskildeFestival ACP Music Festivals network

Media Sponsors

fROOTS TimesFM

Bofya hapa ili ushiriki .

Contact Us

topback to the top

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Sauti za Busara on facebook

 

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Find us on the airport road, opposite Golf Club

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294


Please forward this mail to friends who may be interested. To subscribe or unsubscribe to our newsletter – just type your email address in the box at
www.busaramusic.org