Habari hii imetumwa kwa watu 56,260 waliojiunga

      Email not displaying correctly, view it in your browser

Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

busara newsletter
Tarehe za Sauti za Busara 2013
Wito kwa wasanii, tamasha la 2013
Picha na video za tamasha 2012
Wito kwa Wadhamini na Wafadhili
Wasiliana nasi

Tarehe za Sauti za Busara 2013

Top

14 mpaka 17 February 2013.Hizi ni tarehe rasmi za Sauti za Busara 2013

Ngome Kongwe ndani ya Mji Mkongwe, Zanzibar kwa mara nyingine itawaletea tamasha la muziki la Sauti za Busara.  Toleo lijalo ambalo litakuwa la 10  litawaletea muziki bora wa Kiafrika kutoka bara la Afrika na kwingineko. Baadhi ya matukio muhimu ya toleo hili la tamasha pamoja Bora katika  Wabora – matukio muhimu na watazamaji waliovutiwa kutoka miaka iliyopita ya tamasha pamoja na wasanii watakao shiriki.

Panga mikakati yako sasa, na uhakikishe kuwa utakuwa Zanzibar kwa ajili ya onyesho la kimataifa kutoka kwa wasanii bora wa Afrika Mashariki na kwingineko.  Tunakukaribisha katika Kisiwa cha marashi  kwa ajili ya tamasha bora la muziki la Afrika chini ya Anga la Afrika.

Kwa maelezo zaidi na habari mpya zaidi tembelea tovuti

Night time audiences Thandiswa_by_Birgit_Quade_0038

Watazamaji wa usiku

Thandiswa(South Africa)

Lumumba theater group Night time audience Night time audience

Lumumba Theatre Group (Tanzania)

Imena (Rwanda)

Samba Mapangala and Bi Kidude

 

Wito kwa wasanii Sauti za Busara 2013

Top

Wito kwa wasanii wote wa Afrika kutoka pande zote za dunia.  Maombi yapo wazi kwa sasa. Tuma maombi yako ili upate nafasi ya kushiriki katika toleo la 10 la Sauti za Busara.

Kumbuka kuwa tunapokea mamia ya maombi kila mwaka. Wasanii wote ni lazima wajaze fomu za maombi na kutuma nakala zitufikie ofisini Kabla ya tarehe 31 Julai 2012. Jopo la uchaguzi litakutana mwezi wa nane na waombaji wote watajulishwa kwa njia ya barua pepe mwezi wa tisa.

mic
 

Picha na video za tamasha 2012

Top

Angalia video na picha matukio muhimu ya Sauti za Busara 2012, ili kuona kwa nini hili ni tamasha Namba 1 la muziki Afrika Mashariki.

youtube play button
Nneka (Nigeria) audience pic

Watazamaji wa usiku

Watazamaji wa jioni

 

Wito kwa Wadhamini na Wafadhili

Top

Tiketi za kila siku ni shilling 3000 kwa Watanzania. Ili kufanikisha hili tunategemea misaada kutoka kwa wadhamini na wafadhili

Tuna njia erevu kwa Asasi yako kuonekana kama sehemu ya mafanikio ya tamasha. Kama una nia ya kudhamini tamasha, tafadhali tuma barua pepe busara@busara.or.tz au marketing@busara.or.tz

 

Wasiliana nasi

Top

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tunapatikana njia iendayo Uwanja wa Ndege, Mkabala na Golf Club  

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

facebook

Tembelea ukurasa wetu wa facebook na waambie wale wote wanaopenda  kutembelea ukurasa wa Busara wa 2013.

Hongera Busara! Thumbs up na “ipende” busara kwenye www.facebook.com/sautizabusara

youtube logo

Vitu vingine zaidi katika tovuti yetu ni Music Charts, Top African Music Festivals, East African Arts Events Calendar, photo galleries and video clips


Tafadhali itume barua pepe hii kwa marafiki ambao wangependelea kuipata. Kujiunga au kujitoa andika barua pepe yako katika chumba katika
www.busaramusic.org