Jarida hili linakwenda kwa watu 61,480

Email not displaying correctly, view it in your browser

Usijibu kutumia barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

busara newsletter
Maadhimisho ya miaka 10 ya Sauti za Busara 2013
Orodha ya wasanii
Tiketi na Pasi zinapatikana sasa
Kibali kwa waandishi wa habari
Movers & Shakers
Maelezo kwa wageni
WOMEX – the World Music Expo
Wafadhili na Wadhamini
Wasiliana nasi

Maadhimisho ya miaka 10 ya Sauti za Busara 2013

Top

Maandalizi ni makubwa katika moja ya tamasha litakolokuwa la kihistoria la kuadhimisha miaka kumi ambalo halijawahi kutokea ikiwa na alama ya Afrika kuanzia tarehe 14-17 February 2013 ambalo linajulikana kama “Tamasha rafiki zaidi duniani” Sauti za Busara litafanyika ndani ya mji wa Zanzibar kutoka pwani ya bahati ya hindi ndani ya Ngome Kongwe katikati ya Mji Mkongwe kwa wenyeji na wageni ili kujionea utajiri wa utamaduni.

 

Orodha ya wasanii

Top


Sauti za Busara ina ahidi wingi wa vipaji kutoka pande zote za Afrika ikiwa ni:

Cheikh Lô (Senegal)  Mlimani Park Orchestra (Tanzania)  Khaira Arby (Mali)  Comrade Fatso & Chabvondoka (Zimbabwe)  Culture Musical Club (Zanzibar / Tanzania)  Atongo Zimba (Ghana / UK)  N'Faly Kouyaté (Guinea)  Nathalie Natiembe (Reunion)  Zanzibar Unyago (Zanzibar / Tanzania)  Nawal & Les Femmes de la Lune (Comoros / Mayotte)  Wazimbo (Mozambique)  The Moreira Project (Mozambique / South Africa)  Owiny Sigoma Band (Kenya / UK)  Mokoomba (Zimbabwe)  Msafiri Zawose & Sauti Band (Tanzania)  Mani Martin (Rwanda)  Burkina Electric (Burkina Faso / USA)  Lumumba Theatre (Tanzania)  Sousou & Maher Cissoko (Senegal / Sweden)  Super Maya Baikoko (Tanzania)  Peter Msechu (Tanzania)  Wakwetu Jazz Vibes (Tanzania)  Safi Theatre Group (Tanzania)  Wanafunzi wa SOS (Zanzibar / Tanzania). na wengi wengineo

Angalia video

   
340ml
CHEIKH LÔ´
SENEGAL
mlimani Park Ochestra
MLIMANI PARK ORCHESTRA
TANZANIA
340ml
MOKOOMBA
ZIMBABWE
2012 Festival highlights (2’36”)
More Than a Festival (25 min)
 

Tiketi na Pasi zinapatikana sasa

Top

Ukumbi wa Ngome Kongwe ni mdogo. Ili kujiepusha na usumbufu tunashauri kununua tiketi yako mapema. Kuanzia tarehe 14 alhamisi mwezi wa pili saa nne asubuhi Tiketi zitapatikana pia katika mapokezi ya ukumbi wa onyesho idadi yake ni chache. NUNUA TIKETI

15 Ijumaa

16 Jumamosi

17 Jumapili

5:00pm

Beni ya Polisi

5:00pm

Mani Martin

5:00pm

DCMA Young Stars

5:20pm

Wanafunzi wa SOS

 

 

5:50pm

Safi Theatre Group

6:00pm

Lumumba Theatre

6:00pm

Msafiri Zawose & Sauti Band

7:05pm

Zanzibar Unyago

7:10pm

Wakwetu Jazz Vibes
with Peter Msechu

7:05pm

Culture Musical Club

7:35pm

Atongo Zimba

 

 

 

8:20pm

Nawal & Les Femmes

 de la Lune

8:20pm

Sousou & Maher Cissoko

8:20pm

Atongo Zimba 

9:35pm

N'Faly Kouyaté

9:30pm

Burkina Electric

9:00pm

Khaira Arby

10:40pm

Nathalie Natiembe

10:40pm

Wazimbo

10:05pm

The Moreira Project

11:40pm

Owiny Sigoma Band

11:40pm

Super Maya Baikoko

11:10pm

Comrade Fatso & Chabvondoka

12:40am

Mlimani Park Orchestra

12:40am

Mokoomba

12:15am

Cheikh Lô


President Jakaya Kikwete
Welcome message from H.E. President Kikwete
Festival Poster
Download Festival Poster
 

Kibali kwa waandishi wa habari

Top

Ili uweze kujumuika katika mikutano ya waandishi wa habari, mahitaji ya habari, mahojiano na wasanii na ushiriki mkutano na wataalam  katika Movers & Shakers, ni lazima uwe na pasi ya Festival Press Pass. Hii itakupa nafasi ya kupata vipaza sauti, mwanga wa dhiada au mtu mmoja zaidi huruhusiwa akiwa na  All Festival Film Permit.

Uwezo wa kupiga picha (mbele ya jukwaa) – watakaoruhusiwa ni wale wenye All Festival Film Permit or Festival Foto Pass. Wapiga picha hawaruhusiwi  kupanda juu ya jukwaa na nyuma ya jukwaa isipokuwa kuwa na kibali maalum cha maandishi kutoka kwa waandaji.
Kwa waandishi wa habari ambao wangependa kushirki katika tamasha wanatakiwa kutuma maombi ya ushiriki kupitia http://busaramusic.org/press/press_accreditation/ Maombi yafike kabla ya tarehe  6 January 2013

 

Movers & Shakers

Top

Tamasha huvutia wataalam mbali mbali wenyeji na wageni wataalam.  Kongamano la Movers and Shakers  hufanyika kila siku mchana wakati wa tamasha  na hutoa nafasi nzuri kwa wasanii, mameneja , waandishi wa habari  na wataalam kuchangia maelezo, kubadilishana mawazo na  kuimarisha masoko ya kikanda.
Kwa mfano tunatafuta mada kutoka sekta za utamaduni  kikanda na kimataifa. Wakati wa toleo la 10 tutajadili kuhusu kujenga na  uendelevu, kuchangisha fedha na kujenga uwezo kwa ajili ya mifuko ya utamaduni , siasa na uthibiti katika sanaa na mengineyo mengi. Tujulishe kama una maoni ya kuongezea katika mada ambazo ungependa zijadiliwe mwaka huu!

Hii ni kwa mwaliko maalum: Kama wewe ni mtaalamu na ungependa kushiriki tafadhali wasiliana nasi kupitia md@busara.or.tz 

 

 

Maelezo kwa wageni

Top

Hapa utapata kila maelezo muhimu kwa ajili ya kujiandaa kutembelea tamasha:       

> Oda tiketi ya tamasha

> Usafiri wa anga

> Usafiri wa majini

> Malazi

> Usafiri kwa wenyeji

> Mahali tamasha litakapofanyika

> Viza

> Chanjo

> Vitu vya kuchukua

> Usalama

> Vitu vya kuona na kufanya

CDs bora za Afrika: 2012: click here

 

WOMEX – the World Music Expo / Cardiff, Wales, UK / 23 – 27 Oct 2013

Top

WOMEX ni "Ni soko muhimu la kitaalam la muziki wa kila aina. Soko hili la kimataifa huwajumuisha wataalam kutoka kila pande za dunia za aina mbali mbali ya muziki ikiwa ni pamoja muziki wa asili na pia inajumuisha  maonyesho , mikutano na filamu fupi. Pia huchangia kwa mtandao ikiwa ni njia mojawapo madhubuti ya kukuza muziki na utamaduni wa aina zote na pande zote."
Toleo la 18 la WOMEX lililofanyika Thessaloniki, Ugiriki mnamo mwezi October 2012 zaidi ya washiriki 2,200 kutoka zaidi ya nchi 90, maonyesho 600, ratiba za mikutano na maonyesho ya tamasha 61 katika majukwaa 8.  Kwa maelezo zaidi tembelea www.womex.com

 

Wafadhili na Wadhamini

Top

Busara Promotions inatoa shukrani za dhati kwa wadhamini na wafadhili  kwani bila wao tamasha lisingefanyika. Tumepokea ahadi chache kutoka kwa watu wanaotusaidia na bado tunahitaji msaada zaidi ili tuweze kufanikisha!

Mpaka sasa  Sauti za Busara 2013 imedhaminiwa na:

Norwegian Embassy Hivos
GotheInstitut   Memories of Zanzibar
Azam DTB Zanzibar Unique

Shukrani kwa: Zanlink, Embassy of France, Ultimate Security, SMOLE II, Emerson Spice, Archipelago Restaurant, Stone Town Café, Mercury’s, AllyKeys Car Hire, www.zanzibar.net

 

Wasiliana nasi

Top

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tunapatikana Mkabala na Golf Club, Njia inayoelekea Uwanja wa Ndege

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

facebook

Thumbs up and “like” us at www.facebook.com/sautizabusara

youtube logo
twitter

Angalia vitu vya ziada kwenye tovuti yetu Music Charts, Top African Music Festivals, East African Arts Events Calendar, photo galleries na video clips


Tafadhali itume barua pepe hii kwa marafiki ambao wangependelea kuipata. Kujiunga au kujitoa andika barua pepe yako katika chumba katika
www.busaramusic.org