Jarida hili limetumwa kwa watu 64,862

Emeil yako huioni vizuri, view it in your browser

Usijibu barua pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana nasi tafadhali tumia busara@busara.or.tz

busara newsletter
Orodha ya Wasanii
Wito kwa wadhamini na wafadhili
Wito kwa filamu za muziki
Tiketi na pasi
Onyesho Maalum litakalofanyika Dar
Maelezo ya Taasisi ya Busara Promotions
Shukrani kwa Wadhamini na Wafadhili
Wasiliana nasi
 

Sauti za Busara 2014: Orodha ya Wasanii

Juu

Sauti za Busara ni tamasha linalojulikana Afrika Mashariki, ni tamasha la kirafiki. Tamasha la 11 litafanyika kuanzia tarehe 13 mpaka 16 mwezi wa Pili mwaka wa 2014 ndani ya Mji Mkongwe na zaidi ya wasanii 300 watashiriki. Kutakuwa na maonyesho ya filamu za muziki, soko la sanaa, maandamano, matukio ya mitandao kwa ajili ya wataalam wa sanaa na mengi zaidi. Tamasha litaanza kuanzia saa 11 jioni mpaka saa 8 usiku kila siku. Ungana nasi Zanzibar kwa siku zote nne za tamasha la Muziki wa Kiafrika chini ya anga la Kiafrika.

Ebo Tailor
Ebo Taylor
Ghana / Germany
 Jupiter & Okwess International
Jupiter & Okwess International
DRC
Joe Driscoll and Sekou Kouyate
Guinea / USA
Wunmi
Nigeria / UK / US
Jhikoman
Tanzania
The Nile Project
Various
340ml
OY
Ghana / Switzerland
340ml
Tausi Women's Taarab
Zanzibar
Sona Jobarteh
Gambia / UK
NAWAL
Swahili Vibes
Zanzibar
Addis Acoustic Project
Ethiopia
Lumumba
Tarabband
Egypt / Sweden / Iraq
Ebo Tailor
Baladna Taarab
Zanzibar
HAJAmadagascar and The Groovy People ft. W. Puntigam
Madagascar / France / Austria
Hoko Roro
Tanzania
Tritonik
Mauritius
340ml
7PO
Reunion / France
Joel Sebunjo ft. Lenna Kuurmaa
Uganda
Seven Survivor
Tanzania
Abantu Mandingo
Tanzania
Segere Original
Tanzania
 

Wito kwa wadhamini na wafadhili

Juu

Tunapenda kuwashukuru kwa moyo mkunjufu wadhamini na wafadhili na washirika maana bila hawa tamasha la Sauti za Busara lisingefanyika.
Kudhamini tamasha kubwa la muzika Afrika Mashariki kutakupa nafasi nzuri ya kuitangaza Taasisi au Kampuni yako na kujulikana zaidi.

Tamasha huwapatia nafasi nzuri wadhamini na wafadhili kuweka nembo katika ukurasa wetu wa wadhamini na wafadhili katika ukurasa huo(Januari kupitia www.busaramusic.org tulipata hits million 3.4); washirika pia walipata nafasi ya kujulikana kupitia jarida letu la habari linalowafikia (watu zaidi ya 64,000 dunia nzima),ratiba ya tamasha, bana , katika ukumbi, tangazo katika jukwaa na katika majarida yote ya habari …

Tunakaribisha misaada, mikubwa na midogo. Kwa pesa za kigeni dola 600, Unaweza kuwa “Rafiki wa Busara” – tunatoa ofa ya biashara yako katika ukurasa na tovuti ya tamasha na jarida la habari. Pia unaweza tangaza biashara yako kupitia kitabu cha ratiba cha tamasha programme.
Kama ungependelea kuwa mmoja wa washirika hawa “Tamasha rafiki la muziki katika sayari”, tuma barua pepe kupitia marketing@busara.or.tz kwa maelezo zaidi

 

Wito kwa filamu za muziki

Juu

Sauti za Busara inapokea filamu za muziki zitakazo onyeshwa wakati wa tamasha. Hii inaweza kuwa video fupi tu, filamu na nakala yoyote ya onyesho kutoka Afrika. Tunapokea filamu ambazo:

  • Zinaelezea kuhusu muziki au wanamuziki kutoka bara la Afrika na kwingineko
  • Zinazoelezea thamani na utofauti wa muziki wa Afrika
  • Filamu zenye muonekano bora, sauti yenye ubora na muziki wenye asili ya Afrika
  • Kwa lugha ya kigeni tuna omba itafsiriwe kwa Kiswahili au kingereza
Maombi yako yatafanyiwa kazi na kamati ya uchaguzi . Kama umekamilisha maombi yako ikiwemo nakala za DVD mbili kabla ya 30 Novemba.
Maelezo zaidi na fomu zinapatikana hapa busaramusic.org/callforfilm

 

Tiketi na Pasi

Juu

Kwa mara ya kwanza, Sauti za Busara inatoa ofa kwa wale watakao nunua Tiketi za Mapema punguzo la asilimia 20% kuanzia Oktober mpaka tarehe 30 Novemba na asilimia 10% ya punguzo kuanzia tarehe 1 Dicemba mpaka tarehe 31 Januari .

Buy Your Tickets

Tiketi pia zitauzwa eneo la onyesho kuanzia saa 4 asubuhi kuanzia Jumatano tarehe 12 mwezi wa pili. Kwa wazawa na wakaazi wa Zanzibar wataweza kuokoa pesa kwa kununua tiketi mapema. Tembelea tovuti yetu kwa maelezo zaidi!

SINGLE DAY
TICKET

ALL FESTIVAL
PASS

General Admission

80,000/- Tsh (US$ 50)

160,000/- TSh (US$ 100)

Premium
(access to seated area)

96,000/- TSh (US$ 60)

256,000/- TSh (US$ 160)

Special Discounts*

Not available in advance

**IDs/permits required for discounts

-50% off for
African Citizens/Residents
(ID/Resident Permit required)


Not available in advance


80,000/- TSh (US$ 50)

-90% off for
Tanzanian Citizens

(ID required)


Not available in advance


12,000/- TSh


 

Onyesho Maalum litakalofanyika Dar

Juu

Blue Bay Retreat

Tunafurahi kutangaza kuwa kutakuwa na onyesho maalum la  Sauti za Busara litakalo fanyika  Dar es Salaam siku ya  Ijumaa, 29 November 2013 katika ukumbi wa Triniti Bar. Hii ni nafasi nzuri ya kuona shoo za wasanii watakao shiriki katika tamasha la Sauti za Busara 2014 Dar es Salaam wasanii hawa ni pamoja na Hoko Roro and Seven Survivor,na kutakuwa na uzinduzi wa album launch of Msafiri Zawose (mmoja kati ya wasanii waiowahi kushiriki katika tamasha kupendwa na watazamaji wa Sauti za Busara 2013).

Pia kutakuwa na nafasi ya kununua tiketi kwa ajili ya tamasah la Sauti za Busara 2014 kwa punguzo. Kutakuwa na  bahati nasibu na kutakuwa na zawadi za kusisimua, kutakuwa na bidhaa za Busara kwa punguzo maalum, na DJ Davey atawaburudisha mpaka majogoo.
Mlango utakuwa wazi kuanzia saa 8 usiku, muziki utaanza saa 3 usiku. Kiingilio ni shilling 15,000tsh kwa kila mtu (zinapatikana mlango tu).  Tukutane siku hiyo!
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia l marketing@busara.or.tz.

 

Maelezo ya Taasisi ya Busara Promotions

Juu

Blue Bay Retreat

Busara Promotions, ni Taasisi inayoandaa tamasha la Sauti za Busara,ilikuwa na kazi ngumu ya kupanga mipanngo ya miaka 5 ijayo ya Busara Promotions. Shukrani za dhati kwa bodi ya udhamini, Uongozi, wafanyakazi na wageni walioshirikiana nasi Bluebay Beach ResortKiwengwa, Zanzibar, mwezi wa tisa katika kupanga mipango hii.

Tungependa kutangaza jopo jipya la bodi ya wadhamini. Tunawakaribisha katika familia ya Busara, Julia Bishop, Verena Knippel, na Ally Saleh!

Mwisho kabisa, Busara Promotions  inatangaza kwa mara ya kwanza Sauti Zetu haya ni maonyesho ya mikoa yaliyofanyika Nungwi, Zanzibar  tarehe 3 mwezi wa tisa. Vikundi vilivyoshiriki katika maonyesho haya kutoka Nungwi ni: Kidumbak, Dumu, Mchikicho, na Pungwa. Shukrani kwa wote waliokuja kujumuika nasi  na kunyanyua vipaji vya wasanii wa hapa kisiwani! Ni matumaini yetu tutaonana Dar es salaam katika onyesho litakalofanyika tarehe 29 November …

 

Shukrani kwa Wadhamini na Wafadhili

Juu

Waandaaji wa tamasha wanayofuraha kuwashukuru wachangiaji na wadhamini, bila ya wao Sauti za Busara halitaweza kufanyika. Tumeshapokea ahadi nab ado tunahitaji zaidi.

Mpaka sasa Sauti za Busara 2014 linawezeshwa na:

Norwegian Embassy Hivos
GotheInstitut Swiss Agency Memories of Zanzibar
Zanzibar Unique Blue Bay Memories of Zanzibar

Shukrani kwa SMOLE IIZanlinkEmbassy of France, Archipelago Restaurant, Stone Town CaféAllyKeys Car Hire , www.zanzibar.net

 

Wasiliana nasi

Juu

Busara Promotions logo

www.busaramusic.org

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Find us on the airport road, opposite Golf Club

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

Please forward this mail to friends who may be interested. To subscribe or unsubscribe to our newsletter – just type your email address in the box at
www.busaramusic.org