jarida hili linaenda kwa watu 68,601

Soma jarida lako browser

Usijibu kwenye anuani pepe hii. Kama utapenda kuwasiliana, tafadhali tumia busara@busara.or.tz

Sauti za Busara Newsletter

Soma jarida hili kwa: English / Français

 

Soma jarida lako kwenye browza

SzB fROOTS ad
Festival audiences

Tamasha la 12 la Sauti za Busara litafanyika Stone Town, Zanzibar February 12 – 15, 2015. Likiwaleta watu pamoja katika kusherekea muziki wa Kiafrika, hili ni moja ya matamasha makubwa Afrika.
Vikundi 37 vimethibitisha kushiriki, vikiwemo 19 kutoka Tanzania na vingine vikiwakilisha Kenya, Afrika Kusini, Msumbiji, Angola, Algeria, Cape Verde, Comoro, Reunion, Madagascar na kwingineko.

Dhima ya tamasha la mwaka huu ni AMANI NA UMOJA, kukiwa na msisitizo katika muziki kutoka Tanzania. Malipo ya kurekodi studio yatatolewa kama zawadi kwa vikundi vitatu vya Kitanzania vitakavyoimba Nyimbo za Amani zenye ubunifu kuliko zote.

SzB fROOTS ad
SzB fROOTS ad
Festival audiences

Wasanii usiotakiwa kukosa kuwaona ni pamoja na:

 Blitz the Ambassador (Ghana / USA)
Blitz the Ambassador
Ghana / USA
Isabel Novella (Mozambique)
Isabel Novella
Mozambique
Alikiba
Tanzania
Octopizzo and band
Kenya
Ihhashi Elimhlophe
Ihhashi Elimhlophe
South Africa
Aline Fraz„o
Aline Fraz„o
Angola
Tcheka
Tcheka
Cape Verde
Sarabi
Sarabi
Kenya
The Brother Moves On
South Africa
culture
Culture Musical Club (Zanzibar)
Zanzibar
Mim Suleiman
Zanzibar / UK
Msafiri Zawose (Tanzania)
Msafiri Zawose
Tanzania
 Tsiliva (Madagascar)
Tsiliva
Madagascar
 ThaÔs Diarra (Senegal / Mali / Switzerland)
ThaÔs Diarra
Senegal / Mali / Switzerland
 Djmawi Africa (Algeria)
Djmawi Africa
Algeria

... na wengi wengineo

Mwezi wa Februari Zanzibar, kiwango cha nyuzi joto ni 32° kuna joto na unyevu. Tunashauri uje na kofia yako ya kuzuia jua pamoja na ndala

‘Pasi za Tamasha zima’ zinapatikana katika njia salama ya mtandao  na punguzo la asilimia 20 linatolewa hadi kufikia mwishoni mwa Novemba. Watanzania na wakaazi wa Afrika Mashariki wana nafasi ya punguzo la ziada.

wekesha ticket

SzB fROOTS ad
Nje ya mji wa Zanzibar ni ulimwengu mwengine

BEI NAFUU: Tiketi kwa Watanzania
Pasi ya TAMASHA ZIMA ukinunua kabla ya tarehe 30 Novemba ni TSh 8,000/- tu!
Tiketi ya siku moja ni 3,000/- TSh
Kabla ya saa 11 jioni siku zote kiingilio ni BURE
Watoto chini ya miaka 12 wakiwa na mtu mzima kiingilio ni BURE.

Festival audiences
SzB fROOTS ad
African Music Under African skies

Kwa taarifa zaidi:

Tembelea Zanzibar: vidokezo kuhusu safari za ndege, boti, malazi na mengineyo
Wito kwa filamu za muziki wa kiafrika: tarehe ya mwisho 30 Novemba
Busara Xtra: Andaa tukio la aina yake wakati wa kipindi cha tamasha na tutasaidia kueneza ujumbe
Matangazo katika programu ya tamasha: tarehe ya mwisho 19 Desemba 2014
Ungana na Timu ya Wafanyakazi : una ujuzi na uzoefu? Karibu sana!
Mabanda na wafanyabiashara: Tarehe ya mwisho 19 Desemba 2014
Kibali kwa vyombo vya Habari: tarehe ya mwisho 19 Desemba 2014
Kuwa Rafiki wa Busara

Sauti za Busara 2015 inawezeshwa na

WAHISANI

Norwegian Embassy
Hivos

WADHAMINI

Zanlink Maru Maru

WASHIRIKA

fROOTS CEFA TZwomex

... na pia shukrani ziende kwa:

www.zanzibar.net, Embassy of France, Mehta's Hospital, Southern Sun DSM, Azam Marine, Zanzibar Grand Palace Hotel na Marafiki wa Busara

Wahisani, wafadhili na wadhamini wa tamasha wengi zaidi watatajwa kwa mapana na kwa vifijo katika miezi ijayo.

Wasiliana nasi

Busara Promotions
PO Box 3635
Stone Town
Zanzibar, Tanzania

Tupo njia iendayo uwanja wa ndege, mkabala na Golf Club

busara@busara.or.tz

Tel: +255 24 223 2423
or +255 773 822 294

Tafadhali peleka/sambaza jarida hili kwa watu ambao watavutiwa. Ili ku kujiunga au kujitoa katika jarida hili, andika tu email yako ndani ya boksi katika www.busaramusic.org