4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > D
Results: 1 to 1 of 21
 • Dago Roots

  Country  Reunion
  Genres fusion roots
  Website dagoroots974.wix.com
  Facebook /dagorootsofficiel
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   MADE IN REUNION 2018

  GUNPOWDER DAGO ROOTS

  Dago Roots
  Dago Roots

   Alishawishika na historia yake binafsi kati ya Madagaska, Ufaransa na Reunion, Dagoroots uhusisha muziki wake na safari yake.

  Dagoroots ni mwimbaji na mtunzi, msanii huyu wa kisasa huchanganya melodi tofauti katika uimbaji wake ambao anauita Rezzega, ni mchanganyiko wa rege, rock, jazz, maloya ya asili, salegy na muziki wa ulimwengu.

  Mzawa wa Madagascar, alijitumbukiza katika muziki kwenye mri mdogo, Dago Roots aligusa gitaa lake kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 6. Alifika Kisiwa cha Reunion akiwa na Miaka14 na akaanza kujifunza Gitaa rasmi. Pia aliishi miaka kadhaa nchini Ufaransa, ambako alikuwa na fursa ya kushirikiana na wasanii wengine.

  With thanks to Harmon island