4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > F
Results: 1 to 1 of 10
 • Fadhilee Itulya

  Country  Kenya
  Genres roots fusion jazz traditional
  Website www.presskit.to
  Facebook /fadhileemusic
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Kwetu, 2018

  FADHILEE ITULYA FREEDOM OFFICIAL VIDEO 4

  Fadhilee Itulya
  Fadhilee Itulya

   Fadhilee ni msanii kutoka lakini mwenye maono ya mbali kimuziki. Fadhilee hushirikiana na wasanii mbalimbali kubuni na kutunga nyimbo kwa ajili ya maendeleo ya Sanaa ya Afrika Mashariki. Muziki wake unavutia hasa katika upigaji wa Gitaa akitumia kidole gumba maarufu omutibu. Aina hii ya upigaji inapendwa sana katika maeneo ya magharibi ya Kenya, Kakamega ambapo ni asili ya Baba yake. Mwaka 2018 alitoa albamu yenye nyimbo 10 iliyoenda kwa jina ‘Kwetu’ (Home) albamu ilisheheni nyimbo kali We Don't Know, Kwetu, Shombo, Mama na Flora. Albamu iliwekwa vionjo vya asili vya Luyha Isukuti hivyo iliongeza chachu ya usikilizwaji.
  Mpaka sasa Fadhilee ameshafanya maonyesho sehemu mbali ndani ya Afrika Mashariki na nje yake ikiwemo Ghana, Scandinavia, Ujerumani, Ugiriki na Uswizi, mbali na hayo vilevile ni miongoni mwa waanzilishi wa Utam Festival, na Fadhilee’s Garage- shoo ya kila mwezi. 

  africalia
  With thanks to Africalia