4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: A - Z > T
Results: 1 to 1 of 27
  • Taarab - Kidumbak Group

    Country  Zanzibar
    Genres acoustic taarab traditional
    Website www.zanzibarmusic.org
    FestivalSauti za Busara 2017

    DCMA Taarab & Kidumbaki Ensemble

    Taarab - Kidumbak Group
    Taarab - Kidumbak Group

    Kikundi cha Taarab-Kidumbaki kimeanzwishwa mwaka 2014 na ni mkusanyiko wa wanafunzi na walimu kutoka Dhow Country Music Academy (DCMA).  Kilianzishwa kwa madhumuni ya kushiriki kwenye  mashindano huko nchini Marekani.

    Tangu kuasisiwa kwake kikundi hichi cha Kidumbaki kimeshiriki kwenye matamasha tofauti duniani.  Mwezi wa Juni mwaka 2015, walitembelea na kushiriki kwenye tamasha la Africa Festival linalofanyika mjini Wurtzburg huko Ujerumani, ambapo kikundi cha Taarab-Kidumbaki kiliiwakilisha Zanzibar kwenye tasnia ya muziki wa kiutamaduni. Tamasha hilo pia lilihudhuriwa  na Raisi wa Zanzibar.  Mwaka huo huo, kikundi hichi pia kilishiriki kwenye tamasha la Brave nchini Poland.