4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Atemi
Results: 1 to 1 of 1
 • Atemi & the Ma3 Band

  CountryKenya
  Genresband fusion pop
  Website

  www.gatwitch.com

  www.myspace.com/atemidiva

  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Hatimaye (2008)

  Atemi & the Ma3 Band
  Atemi & the Ma3 Band

  Carol Atemi Oyungu ni mmoja kati ya waimbaji machachari katika ukanda wa Africa Mashariki. Mwaka 2003 alijiunga na kundi maarufu la Eric Wainaina, alikuwa akiimba sauti ya pili. Atemi pamoja na Erik na Mapinduzi Band wameshafanya maonyesho ndani ya Afrika na Ulaya na hata katika tamasha la Sauti za Busara mwaka 2008. Alifanikiwa kutoa mwimbo wake wa kwanza mwaka 2004 huku akiendelea kufanya maandalizi ya albam yake ya kwanza na mwaka 2008 inaitwa Hatimaye. Sasa anaendelea kufanya maandalizi ya albam yake ya pili kama solo albam ambayo inakaribia katoka mwaka 2011. Atemi anatumia mchanganyiko wa (neo-soul na afro-soul). Sauti ya Atemi imekuwa ikifananishwa na ya Mariam Makeba. Mwaka huu Atemi anarudi tena kwenye tamasha la Sauti za Busara na Ma3 Band.