4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Chibite Zawose Family
Results: 1 to 1 of 1
 • Chibite Zawose Family

  Country  Tanzania
  Genres fusion roots traditional
  FestivalSauti za Busara 2005, 2007, 2017
  Recordings

  Chibite (Real World 1996)
  Mkuki wa Roho/A Spear to The Soul (WOMAD Select 2000)

  The Zawose Family (Chibite)

  Chibite Zawose Family
  Chibite Zawose Family

  Chibite ina maana ya twende zetu au twende pamoja, kwa lugha ya Kigogo.  Kikundi hiki kiliundwa naDaktari Hukwe Zawose akishirikiana na mwanawe Charles Zawose, kwenye miaka ya tisini huko. Daktari Hukwe alifariki mwaka 2004 alipokuwa ziarani huko nchini Sweden, kabla ya kifo chake aliwahi kufanya rekodi ya albamu na muimbaji mashuhuri kule uingereza anaejulikana kwa jina la Peter Gabriel.

  Awali yake kikundi hichi kilikuwa na wasanii 15, kwa sasa kimejikusanyia wasanii 35 ambao wote ni wanafamilia wa Daktari Hukwe Zawose.  Wanafamilia hawa wanajifunza ala za muziki na kuimba nyimbo za kigogo tangu wakiwa wadogo.  Wanawake wanakuwa wachezaji wa ngoma, na ngoma yao mashuhuri ni ya kuchezesha mabega na shingo.

  Ala wanazotumia ni kama marimba, zeze, irimba na ngoma.

   

  with thanks to Kumi Gifts & Treats and JATA Tours