4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Christine Salem
Results: 1 to 1 of 1
 • Christine Salem

  CountryReunion
  Genresfusion traditional roots
  Website

  www.myspace.com/salemtradition

  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Krie (2003)

  Fanm (2005)

  Lanbousir (2010)

  Christine Salem
  Christine Salem

  Sauti ya “marogo” ya mwanadada Christine Salem inatusafirisha katika safari ya Muziki na kutuvusha bahari ya hindi nyimbo zake utilia mkazo na kutuelezea juu ya ugumu wa maisha mahangaiko katika lugha za creole, kimalagasy, kikomoro na Kiswahili za mababu zetu. Salem Tradition ni kundi kutoka kisiwa cha Reunion, huchanganya aina ya muziki sega, blues na maloya. Kama mtunzi na muimbaji mwenye umri mdogo katika kundi zima alianza kazi za sanaa mwaka 1997. Yeye huchanganya tamaduni za bahari ya hindi na mila na desturi za watu wa Reunion kwa kutumia vifaa vya kiafrika, kwenye maonyesho yake. Mwanamuziki huyu huonekana mwenye nguvu na hisia kali vilevile hucheza na watazamaji wake na kuteka hisia zao kasha kuproduce zaidi.