4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > DCMA Young Stars
Results: 1 to 1 of 1
 • DCMA Young Stars

  Country  Zanzibar
  Genres taarab pop fusion
  Website www.zanzibarmusic.org
  FestivalSauti za Busara: 2013, 2015
  DCMA Young Stars
  DCMA Young Stars

  Wasanii hawa wanatoka chuo cha mziki Zanzibar (DCMA) ambao wote wana umri chini ya miaka 25. Chimbuko la kundi hili ni mualiko wa kufanya onyesho kwenye taasisi ya ufaransa Alliance Francaise katika tamasha la world music festival Dar es Salaam. Kikundi kilifanya mseto wa mziki na ala mbalimbali na kufanya onyesho maridhawa la taarab, uchezaji na mchanganyiko wa mziki wa Afrika la Latin.
  Kikundi hichi mara nyingi hufanya maonyesho yake katika sehemu mbalimbali za Zanzibar kama Jimkhana Club, Police Mess na Kwaraju.