4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Damian Soul
Results: 1 to 1 of 1
 • Damian Soul

  CountryTanzania
  Genresurban pop
  Facebookwww.facebook.com/Damian-Soul-465979976854674
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Kaumba, 2016; Tudumishe, 2015; Ni Penzi, 2014; Data, 2017

  Damian Soul
  Damian Soul

  Damian Soul ni mkali wa miondoko ya Swahili Soul, ambaye maisha yake yamezungukwa na muziki. Damian ni mtunzi, mpiga gitaa, mtayarishaji na mwimbaji.

   

  Katika albamu zake nne amefanikiwa kufanya kazi na nguli mbalimbali kutoka Tanzania kama vile Joh Makini, Vanessa Mdee, G Nako na Nikki II.