4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Eli Maliki
Results: 1 to 1 of 1
 • Eli Maliki

  Country  Uganda
  Genres band fusion
  Facebook /elimalikimusic
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   Hey, 2015; Nakupenda, 2018 

  Nakupenda | Acoustic Video

  Eli Maliki
  Eli Maliki

  Eli Maliki ni msanii mwenye nasaba ya Kenya na Uganda. Eli ni msanii anayepiga muziki wa Soul akichanganya na radha za kiafrika.

  Eli alizaliwa katika familia ya wanamiziki, alianza safari yake ya muziki akiwa na umri mdogo katika bendi ya familia, akawa anaimba, kucheza na kupiga ala za muziki. Alikuwa kiongozi wa kwaya ya kanisa, baada ya miaka kadhaa alinza kuimba peke yake (solo Arists) alkianza na shoo yake ya kwanza ya malipo mwaka 2011. Baadae kutoa albamu yake ya kwanza mwaka 2015 ‘Hey’.

  Katika harakati zake kimuziki anasema anavutiwa sana Lauryn Hill, Idia Arie, Maxwell na D’Angelo. Anasema ameletwa duniani ili kujifunza, kusomesha na kushea kazi zake katika maonyesho na semina mbalimbali ndani ya Afrika Mashariki na Ulaya. Ameandika muziki na kushea jukwaa na Sautisol, Eric Wainaina na Damian Soul.