Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: search > Evans \'Pfumela\' Mapfumo
Results: 1 to 1 of 1
Results: 1 to 1 of 1
Evans 'Pfumela' Mapfumo
Country Zimbabwe Genres band roots Facebook /evansmapfumomusic Festival Sauti za Busara 2022 Evans 'Pfumela' Mapfumo ni muimbaji, muandishi na mpiga gitaa kutoka Zimbabwe. Muziki wake umebeba ujumbe maridhawa kuhusu vita, umasikini, utesaji wa watoto pamoja na kuhamasisha Amani, upendo na mshikamano.
Bendi yake inafanya maonyesho kabambe yenye kuchanganya mashairi ya utamaduni, marimba na mbira, gita na vifaaa vingine vya kitamaduni. Wamashafanya maonyesho kwenye matamasha mbalimbali ikiwemo World Cup Fan Festival in South Africa (2010), Cape Town Summer Market Festival (2012), National Arts Festival (South Africa) na Harare International Festival of the Arts (HIFA, 2015).
Evans Mapfumo ana shahada Muziki na sasa ni mhadhiri wa chuo cha muziki, Zimbabwe College of Music.
With thanks to Ministry of Youth, Sport, Arts and Recreation & Roambridge: https://www.facebook.com/moysarzim