4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Evon
Results: 1 to 1 of 1
  • Evon

    Country  Uganda
    Genres band blues jazz reggae
    Facebook /EVON.Uganda
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    New Me Now, 2019

    #NewMeNow by EVON (Lyrics Video)

    Evon
    Evon

    Evon ni mwanamuziki wa soul, bluz na jazz, pia ni mwandishi mzuri wa muziki ambaye amehudumu zaidi ya miaka kumi katika tasnia ya muziki nchini Uganda kama msanii mchanga. Katika kipindi chote hicho ameweza kuvumbua sauti yake laini, mashairi, bluz na muziki wa nyumbani.

    Albamu yake ya kwanza 'Lullabies for A Lion' ilitolewa nchini Sweden mwaka 2015. Albamu hii ni hadithi binafsi juu kupigania ukosefu wa usalama na wasichana wa Kiafrika.

    africalia
    With thanks to Africalia