4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > HAJAmadagascar and The Groovy People
Results: 1 to 1 of 1
  • HAJAmadagascar and The Groovy People

    Country  Madagascar France Austria
    Genres roots fusion
    Website www.hajamadagascar.com
    FestivalSauti za Busara 2014

    HajaMadagascar live at Afrofest 2007

    HAJAmadagascar and The Groovy People
    HAJAmadagascar and The Groovy People

    Haja Madagascar ni bendi ambayo inaweza kuwapagawisha watazamaji kwa kipindi kifupi tu cha onyesho kutokana na mchanganyiko wa ala za muziki na ubunifu. Anasema " Muziki wetu unatuelezea asili yetu. Tunapenda utamaduni wetu lakini tunaishi katika miji mikubwa kwa sasa. Muziki wa asili na wa kisasa vinaweza kuwa pamoja kwa sababu asili haipotei." Bendi inamchanganyiko wa kimandhari kama kisiwa chenye wahamiaji wengi. Muziki wenye radha zote za Kimalagasi kama Salegy, Bahoejy, Antosy na Kilalaky, mipigo yote ni moto wa kuotea mbali katika mwambao wa Kusini Mashariki mwa Afrika.

    Austrian-Embassy-Nairobi-Logo
    With thanks to the Austrian Embassy Nairobi