Results: 1 to 1 of 1
Hoba Hoba Spirit
Country Morocco Genres roots rock fusion Facebook /HobaHobaSpiritOfficielle Festival Sauti za Busara 2019 Recordings 📼 Hoba Hoba Spirit, 2003; Blad Skyzo, 2004; Trabando, 2007; El Goudda, 2008; Nefs&Niya, 2010; Kalakhnikov, 2013; Lost, 2016; Kamayanbaghi, 2018.
Muziki halisi wa Morocco umerudia, wenye nguvu zaidi kuliko hapo! Kati ya rock, funk na folklore, Hoba Hoba spirit wamekuja na mtazamo mpya wa kimuziki wenye kuakisi mchanganyiko wa muziki wa kisasa, na kufanikiwa kutoa nyimbo zenye mashiko kila wakati kama vibao vyao maarufu “Welcome to Casa mpaka Blad Skyzo” nyimbo zao zipo kwenye kumbukumbu za wamoroko wengi. Mpaka sasa HobaHoba wana albamu nane ikiwemo ya hivi karibuni “Kamayanbaghi” waliyoitoa mwaka 2018.
HobaHoba wameshafanya maonyesho zadi ya 500 ndani na nje ya Morokko, baada ya ziara yenye mafanikio ndani ya Marekani vyombo vya habari huongelea muziki wao. Kutokana na chanzo cha Huffington Post, HobaHoba ni miongoni mwa vikundi 50 ambavyo nimetengeneza tamaduni ya Mashariki ya Kati.With thanks to Afrikayna & Africa Art Lines