4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Ifrikya Spirit
Results: 1 to 1 of 1
 • Ifrikya Spirit

  Country  Algeria
  Genres roots fusion jazz spiritual
  Facebook /ifrikyaspirit
  FestivalSauti za Busara 2019
  Recordings

   IFRIKYA SPIRIT, 2013

  IFRIKYA SPIRIT LIVE (AFRICA)

  Ifrikya Spirit
  Ifrikya Spirit

   

  Muziki wa Ifrikia Spirit umezaliwa nchini Algeria, lakini imefungua milango ya muziki wa Afrika na dunia kwa ujumla. Ifrikya Spirit imefanikiwa kubadili muziki wao wa asili na kutengeneza mfumo na melodi mpya. Wanamuziki kutoka nchi takriban 42 walikutana nchini Aljeria mwaka 2009 kwenye Tamasha la Pan-Afrika, Ifrikya Spirit iliona kama fursa pekee katika tasnia yao. Wasanii waalikwa waliondoka lakini kumbe wameacha hazina kubwa ya ala za muziki. “kulikuwa na ala za muziki tofauti kama balafon na kamale, ala ya muziki kutoka Afrika Magharibi” anasema Chakib Bouzidi mbunifu wa Ifrikya Spirit. “tulianza kupiga nao, tukavutiwa na ndipo tuliposema tuanzishe bendi, na kuipa jina la Ifrikya Spirit. Lengo letu lilikuwa kupiga muziki wa aina mbalimbali kama Salsa, Bluz na Rege lakini wenye radha za kiafrika.

  Ala za muziki za Afrika Magharibi zinafurahikiwa na kuthaminiwa. Kupiga Djembe, Kamale N’goni, Balafon, Sexafoni, Karkabou, Gita, kinanda inaonyesha uhusiano wa muziki wa Afrika na historia ya muziki wa Aljeria.

  Ithrene_travel sposnor logo_onda
  With thanks to Onda