4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Isau Meneses
Results: 1 to 1 of 1
  • Isau Meneses

    Country  Mozambique
    Genres traditional
    Website /people/Isau-Meneses/100010107914981
    FestivalSauti za Busara 2017
    Recordings📼

    Patchissa-Pananfiti, 2013; Ha Esperanca, 2014; Wankwanissa Gocha, 2015

    Isau Meneses - Patchissa Pana N'fite

    Isau Meneses
    Isau Meneses

    Isau Meneses ni muimbaji mkongwe, yupo kwenye jukwaa la sanaa ya muziki nchini Mozambique kwa muda wa miaka thelathini. Mwaka 2013 alipotimiza miaka thelathini kwenye sanaa hii alitoa albamu yake ya nyimbo kumi na moja kusherehekea.  Hadi sasa Isau Meneses ametoa albamu saba kwa kipindi hicho cha usanii wake.  Alipokea tuzo ya platinum kwa kuuza albamu 40,000 za “Tapi Djee”

    Isau Meneses ni mtungaji mzuri wa mashairi ya kimapenzi. Maishani mwake, ameandika mashairi mengi hadi haelewi ni mashairi mangapi tayari ameandika. Anasema kilichomuhimu kwake sio kujua idadi ya mashairi bali ni kuandika mashairi yatakayo wafurahisha mashabiki wake.

     

    travel sponsor Isau Meneses
    with thanks to Linhas Aereas de Mocambique