4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Ison Mistari aka Zenji Boy
Results: 1 to 1 of 1
 • Ison Mistari aka Zenji Boy

  Country  Zanzibar
  Genres hiphop taarab zenji flava
  Website www.instagram.com
  FestivalSauti za Busara 2020, 2021
  Recordings

  Nani Niliomkosea, 2017; Sina Hakika na Kesho, 2018; Monster, 2018; No Place Like Home, 2018; My Talent, 2018; Mazabe, 2019; Zenji Boy, 2019

  ISON MISTARI NANI NILIMKOSEA LIVE PERFOMANCE SITI THE BAND

  Ison Mistari aka Zenji Boy
  Ison Mistari aka Zenji Boy

  Ison Mistari, aka Zenji Boy ni mwanga mpya wa muziki wa hip hop, Zanzibar. Uandishi wake wa nyimbo ni wenye umahiri na ufahamu pamoja na mistari mahiri yenye ujumbe wenye nguvu unaovutia hadhira kwa wenye kuzungumza Kiswahili.

  Ison Mistari ana uwezo mkubwa wa kufanya maonyesho ya laivu, na ustadi wake wa kihemko hupendwa sana. Amepata heshima nyumbani na nje ya nchi kwa kuleta muunganiko wa nyimbo ya tamaduni kuchanganya na midundo ya kisasa.