4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Jahazi Modern Taarab
Results: 1 to 1 of 1
 • Jahazi Modern Taarab

  Country  Tanzania
  Genres band fusion taarab
  FestivalSauti za Busara 2008, 2011
  Recordings

  2 in 1 (2006)

  Kazi ya Mungu Haiingiliwi (2007)

  Tupendane Wabaya Waulizane (2007)

  .

  Jahazi Modern Taarab
  Jahazi Modern Taarab

  Historia ya mafanikio ya Jahazi Modern Taarab ni kama kikundi kinachoongoza kwa taarab Tanzania hasa inachangiwa na sifa ya Mzee Yussuf, meneja na mmiliki wa bendi na vilevile ni mwanzilishi wa taarab ya kisasa. “Kwa kuepuka kutokufahamika tumeamua kuandika nyimbo ambazo zinalezea maisha yakimapenzi, kama kuunganisha uhusiano ambao umevunjika na kuuimarisha”anaelezea Mzee Yussuf aina yao ya muziki haikuzi chuki.