4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Juhudi Taarab
Results: 1 to 1 of 1
 • Juhudi Taarab

  CountryPemba
  Genrestaarab
  FestivalSauti za Busara 2012
  Juhudi Taarab
  Juhudi Taarab

  Juhudi Taarab ni hazina ya taarab ya Zanzibar. Kundi lilianzaishwa miaka 70 iliyopita katika kisiwa cha Pemba. Kwa karibu vizazi vitatu wamefanikiwa kuiweka taarab ya asilia hai na kushirikiana na wasanii na watunzi mbalimbali maarufu kisiwani Pemba kama Malik Wastara and Fatma Bakari. Wapigaji na waimbaji huwapa radha halisi watizamaji na mashabiki wao.

  Moja ya kikundi kutoka Pemba kitakachofanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara 2012, onyesho lao litamshirikisha muimbaji maarufu wa taarabu kisiwani Pemba Ali Said Wazera na mwimbo wake wa “Bora Niombe”. Asili na historia yao halisi. Juhudi Taarab uwepo wao katika tamasha la Sauti za Busara umewezeshwa na Swahili Performing Arts Center wakishirikiana na ZanAir.