4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Kiumbizi
Results: 1 to 1 of 1
 • Kiumbizi

  Country  Pemba
  Genres roots traditional
  FestivalSauti za Busara 2009, 2017
  Kiumbizi
  Kiumbizi

  Kikundi cha Kiumbizi kiliundwa mwaka 1996. Kikundi hichi kina wasanii wanaofika ishirini.  Ngoma na nyimbo zote wanazoimba zina asili ya Pemba.

  Wanapocheza ngoma yao, kikundi hiki hufanya mduara na wakawa wanacheza na fimbo mkononi mfano wa ngoma ya Boso.  Ngoma hii ni ya miaka mingi sana, tokea zama za ukoloni wa kipochugizi (portuguese).

  Kikundi cha Kiumbizi wameshiriki kwenye sherehe nyingi za kiserikali na ni kikundi kinachopendwa kwenye sherehe za watu binafsi kama vile harusi.  Wanatokea Pujini, Chake Chake ambapo ni mashuhuri sana kwa ngoma za kiasili na sherehe za kiutamaduni.