4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Kwani Experience
Results: 1 to 1 of 1
 • Kwani Experience

  Country  South Africa
  Genres fusion hiphop jazz urban
  Website /kwaniexp
  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  The Birth of the Mudaland Funk (2005)

  Live After Birth (2009)

  Kwani Experience. Friends for LIfe

  Kwani Experience
  Kwani Experience

  Kwani Experience ni kundi la watu sita wanamuziki wa kizazi kipya (hiphop-jazz) kutoka South Africa katika mji wa Johannesburg. Ni bend yenye makali tofauti na huu ni mfumo wa tabia yao, ujumbe wao, mwonekano wao na sauti zao. Midundo motomoto, aina tofauti za muziki kama (funk, rap, acid, jazz, soul, African indigenous na afro pop). Yote haya yanakuja kwa staili ya kuvutia kabisa.