4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Mehdi Laifaoui Trab Project
Results: 1 to 1 of 1
  • Mehdi Laifaoui Trab Project

    Country  Algeria
    Genres jazz pop rock roots traditional band fusion
    Facebook /MehdiLaifaoui.fanpage
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Diwan - Maalem Ben Aissa, 2004; Chabiba - Karim Ziad, 2005; Yazmen, 2006; Vers des docks et des quais - Radio Babel Marseille, 2014; Joudour Saba Trio, 2016; Vers des Ailleurs - Radio Babel Marseille, 2018; Trab Project, 2019

    Mehdi Laifaoui - Sid El Hakem ( LIVE SESSIONS)

    Mehdi Laifaoui Trab Project
    Mehdi Laifaoui Trab Project

    Mehdi Laifaoui ni msanii mwimbaji, mtunzi kutoka Algeria, muziki wake umechanganyika na Bedouin na trab, muziki wa pentatoniki ambao huipa muziki wa rai wa Algeria ladha ya kipekee ya Afrika. Nyimbo zake nyingi ni nyimbo za asili, na uliosanifiwa kutoka kwenye muziki wa rai wa miaka ya 70 na 80.

     

    Muziki wa Mehdi Laifaoui utakusafirisha kwenye safari ya historia ya muziki wa Aljeria ambao unaangazia dunia ya sasa.

    AARC_logo_white
    With thanks to Agence Algérienne pour le Rayonnement Culturel