4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Milton Gulli
Results: 1 to 1 of 2
  • Milton Gulli

    Country  Mozambique
    Genres band hiphop reggae afrobeat roots urban
    Website miltongulli.wordpress.com
    Facebook /gullimilton
    FestivalSauti za Busara 2017
    Recordings📼Jogador, 2019; Quotidiano EP, 2020

    Milton Gulli - Jogador (Official Video)

    Milton Gulli
    Milton Gulli

    Milton Gulli is a singer-songwriter and producer of Mozambican descent, who was born and raised in the suburbs of Lisbon, Portugal. His music has always been about the people and for the people. Empowerment of the underprivileged, equality, justice, education for all and a world without borders.

    As an artist, he has always been deeply immersed in Lusophone sounds, as well as Lisbon’s contemporary African music scene. Before launching a solo career, he was part of many creative musical projects, including Philharmonic Weed, Cool Hipnoise, Cacique´97 and The Grasspoppers.

    A decade ago Milton Gulli moved to Mozambique, where he works with rappers Simba and Azagaia, and produces albums for the independent Kongoloti Records label. He has also produced albums by Deltino Guerreiro, Ras Skunk, Spirits Indigenous and performed regularly on stage with Azagaia, Simba, DRP, TP50 and others.

    Milton Gulli ni muimbaji, muandishi na muandaaji wa muziki wa Msumbiji aliyezaliwa na kukulia katika viunga vya jiji la Lisbo, Ureno. Muziki wake ni kuhusu watu na kwa ajili ya watu. Kuwawezesha wasiokuwa na upendeleo, haki, ubora, elimu kwa wote bila ya mipaka.

    Kama msanii, amezamia kuimba kwa lugha ya kireno, pamoja na eneo la muziki wa kisasa wa Afrika. Kabla ya kuanza kupiga peke yake ameshashiriki kwenye miradi mbalimbali ya muziki ikiwemo Philharmonic Weed, Cool Hipnoise, Cacique´97 na The Grasspoppers.

    Muongo mmoja uliopita Milton Gulli alirudi Msumbiji, ambapo anaimba na rapa Simba na Azagaia, na kutoa albamu katika lebo ya Kongoloti Records label. Vilevile ameshaandaa albamu na Deltino Guerreiro, Ras Skunk, Spirits Indigenous na kufanya maonyesho mbalimbali na Azagaia, Simba, DRP, TP50 na wengineo.