4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Mopao Swahili Jazz
Results: 1 to 1 of 1
  • Mopao Swahili Jazz

    Country  Tanzania
    Genres jazz roots pop fusion
    Facebook /MopaoMusic
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Taswira, 2019

    Msewe Hybrid by MopaoSwahiliJazz

    Mopao Swahili Jazz
    Mopao Swahili Jazz

    Mopao Swahili Jazz inachanganya nyimbo za asili za jazz pamoja na mashairi yenye vionjo mbalimbali za muziki wa kiafrika. Emma Mopao, mwanamuziki wa kitanzania na mchawi wa gita, alianzisha kikundi hicho kuongoza mwelekeo mpya wa jazz ya Kiswahili. Hapo awali alichochewa na kanuni za muziki wa jazz ya Amerika.   Bendi yake ilijiendeleza katika uandishi wa nyimbo na makubaliano ya kimuziki pamoja na mchanganyiko wa kipekee wa nyimbo za asili ya Tanzania ila zenye mchanganyiko wa jazz ya kisasa.