4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Msaki
Results: 1 to 1 of 1
  • Msaki

    Country  South Africa
    Genres band roots urban
    Website www.akumagency.com
    Facebook /msakiZA
    FestivalSauti za Busara 2022
    Recordings📼Nalithemba EP, 2013; Zaneliza - How the Water Moves, 2016; Platinumb Heart, 2021

    Msaki - Blood, Guns and Revolutions (Official Music Video)

    Msaki
    Msaki

    Msaki has always had a knack for effortlessly voicing our inner fears, hopes and desires. She is a singer-songwriter-producer-curator and one of South Africa’s most unique and exciting talents. She is equally at home in acoustic settings as well as on chart-topping bangers by the globally revered South African house music fraternity – from Mobi Dixon to Revolution, Black Coffee, Black Motion, and Prince Kaybee, with whom she created “Fetch Your Life”.

    The song was a rallying call, a battle cry, a lifeline, an inspirational mantra and one of the biggest songs on South African radio, with 3.1 billion impressions in 2019.

    In 2020, Msaki saw four nominations for the South African Music Awards (SAMA) and digital and radio chart domination in a collaboration with Sun-EL Musician on the motivational ‘Ubomi Abumanga’. Accolades don’t distract her from disrupting and asking questions through her art, positioning her words to hit where impact can be felt the most. ‘Blood Guns and Revolutions’, for example, was written after 34 miners lost their lives at the Marikana Massacre by South African security forces in 2012. The song is a moving and powerful tribute that will stand the test of time, transforming pain, fury and despair into inspiration and hope.

    Msaki ni msanii kutoka Afrika ya Kusini mwenye kipaji cha kuimba, kuandika na kuandaa Muziki. Msaki ameweza kujitengenezea heshima katika muziki wa House kutoka Afrika ya Kusini kutoka kwa Mobi Dixon mpaka kwa Revolution, Black Coffee, Black Motion, na kutengeneza nyimbo na Prince Kaybee, “Fetch Your Life”. Nyimbo hii ilipata msukumo wa kipekee na kuwa moja ya nyimbo bora kupigwa katika vituo vya redio nchini Afrika ya Kusini, na kuvuta hisia za watu 3.1 bilioni mwaka 2019.

    Mwaka 2020, Msaki aliona tuzo nne , South African Music Awards (SAMA), digital and radio chart domination kwa kushirikiana na Sun-EL Musician on the motivational ‘Ubomi Abumanga’. Tuzo hazikumpotezea malengo ya kutafakari Sanaa yake, jinsi kupangilia mashairi yake ili yaguse jamii zaidi. Kwa mfano Blood Guns and Revolutions’ iliandikwa baada ya vifo vya wachimba madini 34 wa Marikana waliouawa na polisi mwaka 2012. Nyimbo hii inachukuliwa kama rambirambi kwa wakati huo, ambapo ilibadilisha maumivu, hasira na dharau kuwa matumaini.

    Sampra-Development-Fund-logo
    With thanks to SAMPRA: https://samprafund.co.za/