4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Mswanu Gogo Vibes
Results: 1 to 1 of 1
 • Mswanu Gogo Vibes

  CountryTanzania
  Genrestraditional
  Website

  https://www.facebook.com/public/Mswanu-Gogo-Vibes

  FestivalSauti za Busara 2017
  Recordings

  Chinyawenga, 2014 

  Mswanu Gogo Vibes
  Mswanu Gogo Vibes

  Mswanu lina maana ya Uzuri kwa lugha ya kigogo.  Kikundi hichi kimeanzishwa mwaka 2007 na Frank Samwata ambae ndie kiongozi wao.  Na sasa wapo wasanii watano ambao ni waigizaji, watunzi wa mashairi na wasimulizi wa hekaya za kale.  Ala za muziki wanazotumia wao ni zeze, filimbi, marimba na guitar.  Wanapiga muziki wa kisasa uliochanganyika na muziki wa kigogo.

  Mwaka 2004 alirekodi albamu huko mjini Berlin, nchini Ujermani.  Na mwaka 2014 walishiriki kwenye tamasha la Karibu, mwaka 2015 walishiriki tamasha la Marhaba.  Pia wameshiriki kwenye matamasha mengine nchini Kenya, Uganda, Afrika ya Kusini, Uingereza, Uskoti, Sweden na Ujerumani.

  Mswanu ni kikundi kinachopenda kuelimisha kuhusu muziki wa asili na wanatoa mafunzo ya sanaa tofauti.