Results: 1 to 1 of 1
Muthoni The Drummer Queen
Country Kenya Genres spoken word fusion roots urban Website www.penyafrica.com Festival Sauti za Busara 2011 Recordings 📼 Mambo Bado (2008)
The Human Condition (2010)
Mwanadada mtunzi na muimbaji mwanamashairi mpiga ngoma na mwanaharakati wa maswala ya kijamii Muthoni Ndonga alizaliwa na kukulia Nairobi nchini Kenya. Tayari keshafikiriwa kuwa nafasi ta uongozi katika anga za burudani na maswala ya kijamii Muziki wa Muthoni ni wa kibunifu ambao unachanganya mfuatano wa sauti za kimuziki na mwendo wakimuziki za kiafrika kwakutumia mifano ya kila siku ya jamii za kiafrikakwa kutumia lugha za kiingerenza, kikuyu na Kiswahili. Muthoni vilevile huchanganya mitindo mbalmbali katika muziki wake ikiwemo salsa kwaito, afrorock taarab,rap na R&B huu ni mseto wa kimuziki inspired na mapenzi,mahusiano ya ndoa siasa na maswala ya kiroho wito wa mwanadada katika utunzi wake ni kazi yenye wito hope curiosty and courage na nguvu mseto wamuziki wake una blend tamaduni za kiafrika mashariki na tamaduni za vijana wa kizazi kipya.
With thanks to Fly540