4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Muthoni The Drummer Queen
Results: 1 to 1 of 1
 • Muthoni The Drummer Queen

  Country  Kenya
  Genres spoken word fusion roots urban
  Website www.penyafrica.com
  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Mambo Bado (2008)

  The Human Condition (2010)

  Muthoni The Drummer Queen
  Muthoni The Drummer Queen

  Mwanadada mtunzi na muimbaji mwanamashairi mpiga ngoma na mwanaharakati wa maswala ya kijamii Muthoni Ndonga alizaliwa na kukulia Nairobi nchini Kenya. Tayari keshafikiriwa kuwa nafasi ta uongozi katika anga za burudani na maswala ya kijamii Muziki wa Muthoni ni wa kibunifu ambao unachanganya mfuatano wa sauti za kimuziki na mwendo wakimuziki za kiafrika kwakutumia mifano ya kila siku ya jamii za kiafrikakwa kutumia lugha za kiingerenza, kikuyu na Kiswahili. Muthoni vilevile huchanganya mitindo mbalmbali katika muziki wake ikiwemo salsa kwaito, afrorock taarab,rap na R&B huu ni mseto wa kimuziki  inspired na mapenzi,mahusiano ya ndoa siasa na maswala ya kiroho wito wa mwanadada katika utunzi wake ni kazi yenye wito hope curiosty and courage na nguvu mseto wamuziki wake  una blend tamaduni za kiafrika mashariki  na tamaduni za vijana wa kizazi kipya.

  With thanks to Fly540
  With thanks to Fly540