Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: search > Mwahiyerani
Results: 1 to 1 of 1
Results: 1 to 1 of 1
Mwahiyerani
Country Tanzania Genres traditional Festival Sauti za Busara: 2015 Mwahiyerani ni kikundi cha ngoma za asili kutoka kijiji cha Mchauru Juu, Mkoani Mtwara. Aina yao ya kabila la waMakua ambao wanapatikana Kusini mwa Tanzania na Kaskazini mwa Msumbiji. Aina ya ngoma yao ilikua ikichezwa na watu wazima tu katika sehemu zilizojificha kuanzia miaka ya 1920. Kwa sasa inachezwa wazi na wanachama wa kundi hilo ni vijana wadogo wanaume kati ya umri wa 5 – 40. Kikawaida, kundi hilo hutumbuiza katika sherehe za kimila zikiwemo jando na unyago. Mwahiyerani ina wanachama hai 30 lakini kwa maonesho ya ‘mbali’ hua wanapunguza washiriki hadi 15 ambao 5 kati yao watakua waimbaji na wapiga ngoma. Nyimbo zao nyingi ni za kusherehekea vitendo vya kijasiri na ibada nyingine za asili.