4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Nadi Ikhwan Safaa
Results: 1 to 1 of 1
  • Nadi Ikhwan Safaa

    Country  Zanzibar
    Genres traditional taarab
    FestivalSauti za Busara 2005, 2020, 2022
    Recordings📼The Music of Zanzibar 2, Globe Style Records (1988)

    Ikhwani Safaa-Masikini Roho Yako

    Nadi Ikhwan Safaa
    Nadi Ikhwan Safaa

    Ilianzishwa mnamo 1905, Nadi Ikhwan Safaa labda imeweza kuweka alama kupitia mizizi yake kuliko bendi nyingine yoyote barani Afrika. Mwanzoni, walicheza muziki wa Misri na Kiarabu, ila mwanzoni mwa miaka ya 1950 walianza kutunga nyimbo zao wenyewe wakitumia maneno ya kiswahili.

    Hii ni taarab katika uzuri wake wa asili, ushairi maridadi, maonyesho ya sauti bora, vifaa laini na sauti nzuri za mapambo huku wakifunua mahusiano ya karibu na mizizi yao ya Kiarabu. Upendo, urafiki, ufuraiaji wa muziki, maumivu, huzuni, yote hupata kujieleza katika maonyesho yao na katika sauti tamu za mpangilio wa bendi yao.