4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Ogoya Nengo
Results: 1 to 1 of 1
  • Ogoya Nengo

    Country  Kenya
    Genres acoustic traditional
    Website www.ketebulmusic.org
    FestivalSauti za Busara 2012

    Ogoya Nengo - The Singing Wells project

    Ogoya Nengo
    Ogoya Nengo

    Ni mwanamuziki wa kihistoria ya miongo kadhaa kutoka Kenya, Ogoya Nengo alizaliwa mwaka 1930 katika kijiji kidogo kijulikanacho kwa jina Magoya, karibu na fukwe ya ziwa Victoria katika kabila la Luo. Ametoka katika familia ya waimbaji, karibuni amejiunga katika miradi ya kufanya kazi ya kuwa mjumbe wa kijamii na mchambuzi wa jamii ya waluo, kawaida anajulikana kama dodo.

    Katika mwaka 2008 alipokuwa na umri wa miaka 70 alikutana na muandaaji mashuhuri wa muziki Tabu Osusa wa Ketebul Music kwa kushirikiana naye walifanikiwa kurekodi albamu yake ya kwanza Matatu.

    Tangu hapo alifanikiwa kufanya maonyesho Afrika Kusini, Ujerumani, Ufaranza na Brazil, na kuwafanya kazi na kampuni ya kisasa ya muziki, Gaara.

    Muziki wake unasifika kutokana na uwezo, hisia na sauti ikiambatana na ngoma mbalimbali na vifaa vingine. Atafanya onyesho katika tamasha la Sauti za Busara 2012 na timu yake mpya ya uimbaji: Margaret Arango, Julianne Akoth, Wilfrida Anyango na Pelisse Achieng.

    Matatu ipo katika matayarisho na inategemewa kuzinduliwa rasmi mwaka 2012.