4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Onipa
Results: 1 to 1 of 1
  • Onipa

    Country  Ghana UK
    Genres electro traditional fusion
    Website earth-agency.com
    Facebook /onipamusic
    FestivalSauti za Busara 2020
    Recordings📼

    Open My Eyes EP, 2018; Maadi3/My Way, 2019; We No Be Machine, 2020

    Onipa - Open My Eyes (Official Video)

    Onipa
    Onipa

    Ilianzishwa mnamo 1905, Nadi Ikhwan Safaa labda imeweza kuweka alama kupitia mizizi yake kuliko bendi nyingine yoyote barani Afrika. Mwanzoni, walicheza muziki wa Misri na Kiarabu, ila mwanzoni mwa miaka ya 1950 walianza kutunga nyimbo zao wenyewe wakitumia maneno ya kiswahili. Hii ni taarab katika uzuri wake wa asili, ushairi maridadi, maonyesho ya sauti bora, vifaa laini na sauti nzuri za mapambo huku wakifunua mahusiano ya karibu na mizizi yao ya Kiarabu. Upendo, urafiki, ufuraiaji wa muziki, maumivu, huzuni, yote hupata kujieleza katika maonyesho yao na katika sauti tamu za mpangilio wa bendi yao.

    British-Council-stacked-positive
    This project is supported by British Council Sub-Saharan Africa FestivalConnect