4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Otentikk Street Brothers
Results: 1 to 1 of 1
 • Otentikk Street Brothers

  Country  Mauritius
  Genres reggae roots urban
  Website /osbcrewms
  FestivalSauti za Busara 2011
  Recordings

  Ragga Kreol (1994)

  Expresyon Libere (1997)

  Nou Kkila (2001)

  Revey Twa (2004)

  Revey Twa European Edition (2007)

  Otentikk Street Brothers
  Otentikk Street Brothers

  Historia ya kundi la Mauritian Reggae Creole, Otentikk Street Brothers ilianza mwaka 1992. Wakati wakiwa kwenye mitaa ya hometown kama vijana wengine wengi ulimwenguni. Bruno na Koeny ni ndugu waathirika na virusi vya kimuziki vya hiphop ambavyo vinasambazwa na wakali kama Public Enemy, Run DMC, LL Cool J.

   

  Baada ya miaka kadhaa safu yao ya wafokaji ilibadilika nakuchukuliwa na Blakkayo msanii mgeni kipindi hicho ambae ni mkali wa mistari. Tikkenzo na Dagger killa walifuata kuongezea nguvu kundi hili mistari inayopendwa imetokea kupendwa na wengi. Otentikk Street Brothers aka OSB Crew wamekua kundi la kutambulika ndani ya nchi za Ukanda wa Bahari ya Hindi. Mwaka 2004 walitoa albam yao mpya iitwayo Rewey Twa pamoja na kwamba nyimbo karibu zote kwenye albam yao zipo kwenye maadhi ya Reggae na Dancehall lakini muziki wao umekuwa ni tofauti na Reggae zilizotengenezwa Ulaya na Jamaik. Uwezo wao wakuiongoza na séga, ngoma ya kimauritius, ndio inawafanya kusikilia nafasi walio nayo.

  With thanks to the Ministry of Arts And Culture, Mauritius