Algeria Angola Australia Austria Benin Burkina Faso Burundi Cameroon Canada Cape Verde Comoros Congo Côte d'Ivoire Denmark DRC Egypt eSwatini Ethiopia Far East Finland France Gambia Germany Ghana Guinea Guinea Bissau Iraq Japan Kenya Lesotho Madagascar Malawi Mali Mauritania Mauritius Mayotte Morocco Mozambique Namibia Netherlands Nigeria Norway Pan Africa Pemba Puerto Rico Reunion Rwanda Senegal Seychelles Somaliland South Africa Sudan Suriname Sweden Switzerland Tanzania Uganda UK USA Various Yemen Zambia Zanzibar Zimbabwe
acoustic acrobats afrobeat band blues bongo flava coastal comedy dance dj electro fusion hiphop jazz kidumbak pop reggae rock roots rumba spiritual spoken word taarab traditional urban zenji flava
Artists: search > Percussion Discussion Afrika
Results: 1 to 1 of 1
Results: 1 to 1 of 1
Percussion Discussion Afrika
Country Uganda Genres fusion traditional roots Website www.pdasewi.net Festival Sauti za Busara 2011 Percussion Discussion Afrika sasa ni kundi imara na mstari wa mbele katika Mziki wa Uganda. Hii imesababishwa kwa kufanikiwa kuchanganya vifaa vya kisasa na vya asili tangu mwaka 1997. Mwimbo wao ‘Nawakunde’ ilitumiwa kwenye sound track ya filamu ya block buster ‘Last king of Scotland’, ilitolewa mwaka 2006. Na kuwa miongoni mwa mabalozi wa utamaduni wa Uganda, Percussion Discussion Afrika wanakuza utajiri wa mziki na mashairi wa Uganda. Kupendezesha jukwaa na muonekano wawapo jukwaani, wasikilizaji na onyesho lao hua halisahauliki.