4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Percussion Discussion Afrika
Results: 1 to 1 of 1
 • Percussion Discussion Afrika

  CountryUganda
  Genresfusion traditional roots
  Website

  www.pdasewi.net

  FestivalSauti za Busara 2011
  Percussion Discussion Afrika
  Percussion Discussion Afrika

  Percussion Discussion Afrika sasa ni kundi imara na mstari wa mbele katika Mziki wa Uganda. Hii imesababishwa kwa kufanikiwa kuchanganya vifaa vya kisasa na vya asili tangu mwaka 1997. Mwimbo wao ‘Nawakunde’ ilitumiwa kwenye sound track ya filamu ya block buster ‘Last king of Scotland’, ilitolewa mwaka 2006. Na kuwa miongoni mwa mabalozi wa utamaduni wa Uganda, Percussion Discussion Afrika wanakuza utajiri wa mziki na mashairi wa Uganda. Kupendezesha jukwaa na muonekano wawapo jukwaani, wasikilizaji na onyesho lao hua halisahauliki.