4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Seun Olota
Results: 1 to 1 of 1
 • Seun Olota

  CountryNigeria
  Genresafrobeat band jazz fusion
  Website

  https://www.seunolota.com

  Facebookwww.facebook.com/olotaseun
  FestivalSauti za Busara 2020
  Recordings

  Home Made (2006); Home Brew (2013); Free Spot Show Live (2015); Home Brew remake (2018); Why Worry singles (2018)

  Seun Olota
  Seun Olota

  Seun Olota ni mtengenezaji, mwimbaji na mtunzi na mpiga ala tofauti kutoka Lagos, Nigeria. Ametengeneza mazingira mazuri ndani ya muktadha wa densi, kilabu, muziki wenye tungo mahsusi kama tiba na nyimbo za asili. Kama mpiga piano na saxofoni, ameshirikiana na wanamziki mahiri ikiwemo Duro Ikujenyo, Wunmi Olaiya, Jimi Solanke, Tunde & Fran Kuboye, Fela Kuti, Tony Allen na wengineo. Bendi ya Seun Olota inajumuisha watu wa kawaida na wasomi, ili kuondoa vizingiti vya muziki kusikika.