4 A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z
Artists: search > Sinachuki Kidumbak
Results: 1 to 1 of 1
 • Sinachuki Kidumbak

  Country  Zanzibar
  Genres kidumbak roots
  FestivalSauti za Busara 2005, 2006, 2010, 2011

  Makame Faki-The Father of Kidumbak (NYUAD Jterm 2018 Zanzibar)

  Sinachuki Kidumbak
  Sinachuki Kidumbak

  Makame Faki haitaji utambulisho mkubwa sana hasa Zanzibar, amekuwa msimamizi wa Klabu ya muziki wa tamaduni na mmoja wa waimbaji wa nyimbo za taarab anayejulikana sana. Pamoja na kundi lake mwenyewe la Sinachuki Kidumbak, pia ametumia miongo kadhaa kwenye muziki weye misingi ya visiwa vikuu. Kidumbak ni kama toleo jipya la taarab lenye kutumia sauti, violin, sanduku na ngoma ndogo. Akitambulika kwa uimbaji wake mashuhuri, Makame Faki aka 'sauti ya zege’ Sinachuki Kidumbak ni wakali muziki wa kidumbak.